Uislam sio jina la mtu,unajua maana ya mfumo kristo?hujiulizi kwa nini nyerere alipanik alipoona zanzibar imeingia OIC?hujiulizi kwa nini makafiri wapo kimya juu ya MOU?mlitumia nguvu nyingi kuzuia na kuviza nguvu za waislam ila kwa sasa hamtoweza tena hata mtumie vifaru,kilichobaki mfumo kristo...
Muislam haogopi kudai haki yake popote maana hakubali kudhulumiwa,sasa kama hayo madhehebu yapo kimya ulitaka waislam wawasemee?mahakama ya kadhi ni kwa waislam sio kwa makafiri.
Kuanguka kwa ccm ndio kuanganguka kwa mfumo kristo,kikwete ameletwa duniani kuuangamiza mfumo kristo na mabaki yake yote,swali,je ni kwanini makafiri wanatumia nguvu kubwa kuzuia mahakama ya kadhi isiwe?
Kazeni buti wakatoliki kwenye kulazimisha muungano na zanzibar kwani siku muungano ukivunjika na mfumo kristo una koma kutawala zanzibar,swali je waislam wa tanganyika watakubali kuendelea kutawaliwa na mfumo kristo?william lukuvi analo jawabu la swali hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.