Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,848
- Thread starter
- #41
yaani mwanamke anafanya tendo la ndoa na mwanamume anabeba ujauzito mtoto anazaliwa nyie mnasema mmeumbwa. kweli akili zetu ni zero
hapa dunian hakuna mtu anayejua kila kitu, ndio maana tupo hapa leo ili kubandilisha maarifa.
mkuu unaweza tu ukatuelezea ufahamu wako kwamba
binadam wa kike na wakiume wanaofanya tendo la ndoa nakuzb mtoto, je? walitoke wapi? hadi uwepo wao ukaonekana hapa dunian.