Hii huwa inanipa shida kidogo;
Unakuta marehemu kafa kwa ugonjwa wa kujitakia au kauwawa kwa uhalifu wake, lakini utasikia BWANA alitoa na BWANA ametwaa Jina la BWANA libarikiwe;
Unakuta marehemu alikua tatizo katika jamii au hata mchango wake kama ulikuwepo ulikua hauthaminiwi, lakini utasikia Ooo Pengo aliloliacha marehemu halizibika.
Unakuta marehemu kafa kwa ugonjwa unaofahamika japo ni aibu (kwa mujibu wa jamii husika), Lakini utasikia kafa baada ya kuugua kwa muda mrefu.
NADHANI TUNAHITAJI KUBADIKIKA.