Recent content by Bobwe

  1. Bobwe

    Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, then "Twende kwenye Serikali Moja!"

    Mtoa mada tatizo lako unadhani wazbr wa 64 ni sawa na wazbr wa 2014, Nyerere alilazimisha 2 ndio umeona matatizo yake yalivyo,sasa kama na nyinyi mnataka matatizo zaidi basi lazimisheni iwe moja muone hilo balaa, zanzibar ilikuwepo na itaendelea kuwepo milele, zanzibar kwanza.
  2. Bobwe

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Ni mamlaka kamili ya zanzibar au patachimbika.
  3. Bobwe

    NYARAKA: Mkataba wa Muungano uliowasilishwa UN

    Hapo wadanganyika hawawezi kujibu hoja,hakuna muungano hapa bali kuna ujambazi.
  4. Bobwe

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Muungano na wadanganyika mie basi,niachiwe nipumue,zanzibar kwanza.
  5. Bobwe

    Mizengo Pinda: Mnaitaka Tanganyika ipi?.

    Sasa kwanini unauliza kwa zanzibar tu na usiulize kwa mwanza,kigoma,dodoma,lindi?ukipata jawabu utakuwa umejijibu swali lako.
  6. Bobwe

    Mizengo Pinda: Mnaitaka Tanganyika ipi?.

    Ni kitu kigumu kwa mtu au kiongozi kujitangazia kwenye eneo lake kuwa ana nchi na eneo la mipaka kisha kuwa na vikosi vyake vya ulinzi,katiba,bunge,bendera,mahakama,wimbo wa taifa n.k,hebu nambie mkoa gani huko tanganyika unaoweza kufanya hivyo?kwa akili za kawaida tu unapata picha kuwa hao...
  7. Bobwe

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Kama mnataka kuwajua wazanzibar ni nani basi leteni hiyo moja muone.
  8. Bobwe

    Marais watatu Nchi moja imeonekana wapi ?

    Paukwa!pakawa!hivi munauwezo wa kuzuia nguvu ya wananchi?mfumo kristo lazima uhame zanzibar ukitaka usitake.
  9. Bobwe

    Ni nini kinachosumbua Maalim Seif?

    Ulisikia wapi udikteta umedumu?na ukubwa wenu wote huo bado kanisa lina hofu na zanzibr,nyuki hakumbatiwi.
  10. Bobwe

    Marais watatu Nchi moja imeonekana wapi ?

    Kwa vile muungano huu umekosa ridhaa ya wananchi ni ngumu sana kudumu kwa muungano huu,kwa vile wazanzibar tumeshaona usanii wa muungano huu hatuna budi kusema zanzibar irejeshewe mamlaka yake tubaki na ujirani tu na watanganyika.
  11. Bobwe

    Tanzania bara - zanzibar kumiliki ardhi

    Zanzibar ni nchi ndio maana wadanganyika ni marufuku kumiliki ardhi,tanganyika haina nchi ndio maana imekuwa shamba la bibi,mnaumia wazanzibar kumiliki ardhi tanganyika mbona hamuumii wachina wakichimba dhahabu zenu?
  12. Bobwe

    Tanzania bara - zanzibar kumiliki ardhi

    Hao wamasai wameacha kuchunga ng'ombe huko kwao wanakuja zanzibar kulinda mageti ya mahoteli,ndio maana wataliano wanawakandamiza fresh.
  13. Bobwe

    Bunge la Katiba Haliko Kwa Ajili ya Kuboresha Rasimu ya Kina Warioba!

    Kama mliwezwa kugeuzwa boya na nyerere kwa kuufuta utanganyika wenu basi si ubaya kugeuzwa boya kwa utanzania wenu,zanzibar kwanza.
  14. Bobwe

    Tanzania bara - zanzibar kumiliki ardhi

    Huku zanzibar wamasai ni walinda mageti tu wa mahoteli,some timez hukandamizwa na wataliano fresh.
  15. Bobwe

    Rai ya Zitto Zuberi Kabwe na muundo wa Muungano

    Hujajibu hoja, nyerere tayari ameshaoza huko aliko,kizazi cha sasa kinahitaji mabadiliko na mamlaka yetu ndio muhimu kwa sasa,tumechoka kutawaliwa na mkoloni mweusi,zanzibar kwanza.
Back
Top Bottom