Recent content by Bobsinbady

  1. Bobsinbady

    Serikali ya China yamzawadia prof Muhongo nafasi 22 za udhamini kila mwaka

    Kwani hizo nafasi anapewa Pro.Muhongo binafsi au no Serikali kupitia Wizara ya Nishati na madini.??!!Ila nahisi ni lazima umtaje yeye kwa kuwa muda wa kampeini umekaribia na tayari ameshatangaza nia ya kugombea.
  2. Bobsinbady

    Iam so lonely on my own

    Very sorry for you and whatever your going through.But believe me,it's just a temporary situation,it happen.I wish I could have known you and share our experiences.Pole sana
  3. Bobsinbady

    Mwanamke: Usafi wa 'maakuli' muhimu, sio vizuri kukutana na mtu ananuka sehemu za siri

    Duh Pole sana, Pamoja na kwenda kumuona dakta, Je, yeye mwenyewe anatabia ya usafi?.Maana dada zetu siku hizi wanajua sana kujipodoa ila kwenye kujisafisha ni tatizo..Utakuta dada ana kucha ndefu sana,utajiuliza hivi huyu sasa anajisafishaje papuchi yake!!!..Wanavaa vinguo vya plastiki kiasi...
  4. Bobsinbady

    Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

    Muda wote Mnyika amekuwa kimya wakati Ndugai akichangia,ila Mnyika akiongea anamkatisha na kutaka kuendelea kuchangia.Nadhani Nduhai ni Kiongozi dhaifu asiye na uvumilivu.Na,ndio maana wapinzani wanapokuwa wanataka kuchangia hoja ambayo kwa CCM ni mwiba hatoi nafasi.Hili limejidhihirisha hata...
  5. Bobsinbady

    Red Brigade: Kikundi cha mauaji, watekaji, wamwagia sumu na "nchi kutotawalika"

    Anayeamua nani aende IKULU AU ASIENDE ni mpiga kura.Katika kipindi chote tangu nchi hii iingie ktk mfumo wa vya vingi vya siasa (1992),CCM haijawahi kupata ushindi usio na mashaka.1995,NCCR-Mageuzi ulikuwa mwiba mchungu,ila hila zilizotumika tuliokuwepo hatujasahau..CCM iliishia kupandikiza...
  6. Bobsinbady

    Mliokosa updates za diamond..heaven on desert nimerudi

    Watanzania mbadilike.Watu wanasifia vya kwao nyie mnapiga mateke.Dogo nyota yake inag'ara na watu wanapenda anachokifanya na hivyo anaingiza kipato na watu wanapata ajira kwa kazi yake ya muziki akiwemo huyo 'secretary' wake.Jifunzeni kutoka kwa wenzenu wa Nigeria,RSA,Uganda,Marekani na...
  7. Bobsinbady

    Wakati Ukuta

    Ya kale ni dhahabu.Unaweza kwenda kwenye maktaba zetu usikute kitu.Ila ntafatili maktaba kuu nijionee.
  8. Bobsinbady

    I need a wife not a girlfriend.

    Nilipokuwa kidato cha pili nilimpa binti ujauzito tukapata mtoto wa kiume ambaye sasa yupo Sec.Hatukuweza kuendelea na mahusiano kwa sababu mbalimbali.Yule binti aliolewa na kupata mtoto mwingine na anaendelea na maisha. Badadae nikawa na mahusiano na binti mwingine tukiwa kidato cha tatu hadi...
  9. Bobsinbady

    Hivi kwanini wadada wengi warembo hawapendi kudate na wanaume ambao ni walimu?

    Nadhani ukishamuona ni mrembo kwa macho yako,unajenga hofu kiasi huwezi kumuongelesha chochote.Matokeo yake unahisi hataki kudate na wewe Mwl,lakini kumbe kama ungemsemesha mgefikia muafaka mzuri kabisa.Tatizo lako ukishamuona mzuri unaanza kufikiria mshahara wako,unaona ukiwa nae tu,mshahara...
  10. Bobsinbady

    Wahudumu wa ndege ya Emirate kutoka Dar- Dubai wanauza kadi za chanjo

    Habari zenu watanzania. Alichokiandika mtanzania huyu mwenzetu sio kweli alitakiwa aeelezee ukweli na si kuipotosha jamii mtanzania hy alikuja na wenzake watatu wanasafiri kutoka dar -dxb -bkk ila kwa utaratibu na sheria ya afya za bkk abiria yyt alietoka nchi ya africa esp tz haruhusiwi...
  11. Bobsinbady

    Mwingine akamatwa na madawa ya kulevya airport na mwanae;mtoto yapasuka tumbon akimbizwa hospital

    Ndugu,habari ulivyoiandika umetia chumvi sana.Hebu mtafute aliye kupa habari ili uinyooshe vizuri.Ukiwa unaandika basi fanya aidha utafiti wa kina au anayekupa habari msikilize kwa makini ili usiipotoshe au kuongeza chumvi saaaana habari yenKyewe. Ni hivi `Mama alifia airport dispensary baada...
Back
Top Bottom