Iam so lonely on my own

Iam so lonely on my own

you are what you are bcoz u wanted to be it....ppo lost their bloved ones bt ctill they recover bt wew unaibeba loneliness kama ndo prncple yako just thnk abt it and utashangaa umechange ghafla
 
Very sorry for you and whatever your going through.But believe me,it's just a temporary situation,it happen.I wish I could have known you and share our experiences.Pole sana
 
Pole Kasinde fuata ushauri uliopewa na wachangiaji mbali mbali ambao unaweza kukusaidia kuondokana na huo upweke.

Last edited by a moderator:
Tatizo usistadu mwingi..jichanganye uone raha yake..mm bana bongo ndo maana nlipenda uswazi sana kijichi na mgeni nAni na kula kuku wa kienyeji
 
Kwa offer zote ulizopata kama hujachangamkia hata moja, basi utakuwa na yako.

Pia kama huja pata mi niko tayari kukutoa kwenye upweke. Changamkia fursa.
 
inaelekea kuna kapepo maanake hii hali nlifikiri ni yangu mwenyewe
 
We just share the same song !!! Usiombe

Hivi inawezekana ukiwa na compatriot lakini bado upweke ukakuandama? Kama sivyo, si mtafute watu wakuwapa company ili upweke upungue na kuisha kabisa??
 
That is normal it's happens the issue is don't entertain it. Anyway where r u may be l can do something to help
 
Isingekua kiinglish ningekujibu,..maake inaonekana imekaa vizuri ila sababu mimi huwa mpaka niwe na kamusi ama awepo Preta kunitafsiria,...anayway-ntarudi baadae

Au kunywa Konyagi kiinglishi kitapanda mkuu!
 
Dear MMU,

Loneliness is a disease that has eat me from this Thursday to date, I don't know what happens but najiskia Niko down, no one to talk to, no where to go, I can't cry I can't laugh I can't smile.

Jana nimeenda kuangalia movie ya fast and furious SAA tano usiku nikifikiri furaha yangu itarejea.It didn't work am still lonely.Very lonely to the extent I can't even drink nor eat.

Am thinking about swimming but am worried I'll sink coz of loneliness. Before I planned to travel on this long week end haikuwezekana uuuh am lonely Kasie mie

Maybe by sharing this with you fellas in MMU I'll get healed may be. Anyways let me not interrupt your long week end, enjoy the Easter Season everyone, love u all.

Happy Easter

Kasie.

Mkuu kasie kwanza nianze na kukupa pole hapo inaonekana huwa muda mwingi uko mwenyew sana ila jaribu kujichanganya sio lazima mpk na watoto wa kiume hata wakike wale wanajua kuongea alafu tumia vitu kama Wine usiku ukifika rudi ukalale pia mchana tafuta shughuli unafanya itakayo kuweka busy usiiipe mind yako nafasi ya kuwaza mambo ya mahusiano au mapnzi utajihisi una deni bado wanaume watakuja ila ukiwatafuta itakuwa balaa watakufanya mpira wa corner gombania goli
 
Last edited by a moderator:
Dear MMU,

Loneliness is a disease that has eat me from this Thursday to date, I don't know what happens but najiskia Niko down, no one to talk to, no where to go, I can't cry I can't laugh I can't smile.

Jana nimeenda kuangalia movie ya fast and furious SAA tano usiku nikifikiri furaha yangu itarejea.It didn't work am still lonely.Very lonely to the extent I can't even drink nor eat.

Am thinking about swimming but am worried I'll sink coz of loneliness. Before I planned to travel on this long week end haikuwezekana uuuh am lonely Kasie mie

Maybe by sharing this with you fellas in MMU I'll get healed may be. Anyways let me not interrupt your long week end, enjoy the Easter Season everyone, love u all.

Happy Easter

Kasie.

Mkuu Kasinde kwanza nianze na kukupa pole hapo inaonekana huwa muda mwingi uko mwenyew sana ila jaribu kujichanganya sio lazima mpk na watoto wa kiume hata wakike wale wanajua kuongea alafu tumia vitu kama Wine usiku ukifika rudi ukalale pia mchana tafuta shughuli unafanya itakayo kuweka busy usiiipe mind yako nafasi ya kuwaza mambo ya mahusiano au mapnzi utajihisi una deni bado wanaume watakuja ila ukiwatafuta itakuwa balaa watakufanya mpira wa corner gombania goli
 
Last edited by a moderator:
I wish I could help you but I don't know your problem Kasinde, are you lonely and alone? or lonely but not alone? or alone but not lonely?
Understand yourself especially what you really need. You will be fine Kasie it is just a season...wishing you a good Easter Monday.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom