CRDB Bank Plc wanafungua kwa namba ya NIDA pekee bila kuhitajika kitambulisho chenyewe. Vilevile unaweza kujifungulia akaunti ya Crdb mwenyewe bila kuhitaji kufika bank au kutembelewa na afisa wa Bank.Kwa kutumia smartphone ingia google playstore au ios store download simbanking apk. After...
Hazchem plate,
Nimewahi Tumia Samsung S3, then note 4. Baadae Nikatest Huawei na Tecno. Lengo lilikuwa kujua hasa ladha na uzuri hususani baada ya kuona watu wanaongea ongea sana. Kila simu hapo juu, niliitumia kwa kipindi kirefu cha kuweza kujua uzuri na ubaya wa kila moja.
Baada ya kupita...
Pole kwa usumbufu! Njia nyingine ni kuwa na line 2 za tigo ambapo moja inakaa kwenye modem permanently. Na hiyo nyingine kwenye simu. Haina haja ya kuitoa. Sana sana utatumia line hiyo yako nyingine ya tigo kununua any bundle you want through option ya "mnunulie rafiki".
Kaka huku kwetu niishipo tigo is more worse. 4G yao kwanza ipo town tu. Na 3G nayo iko on off. Kiufupi ni halotel tu ndo wana afadhali. Wengine wote kwa maana ya tigo,voda,airtel ni majanga.
Speed nimekua nacheki several times. Mwanzoni wakati naanza kutumia ilikua inasoma mpaka 10Mbps. Lakini baada siku chache tu za kutumia nikawa kila nikipima speed nakuta inacheza around 2Mbps. Nikaenda mpaka nilipofika 25GB basi ndo majanga. Nikapigwa speed governer. Ndo nikaambulia 0.52Mbps...
Mimi ni mteja wa smile(new customer). Ukweli ni huu, hiyo unlimited package ya 125,000/= for 30 days ina limitation ya speed. Utapata high speed up to 25GB. Baada ya hapo wanabana speed(you will get only 0.52Mbps).
Pamoja na hayo, kabla sijafikia kiwango hicho cha 25GB, most of the time max...
Mimi niliunlock hii modem via dc-unlocker. Before sijaiunlock nikicheki properties wakati iko connected to net ilikua inasoma SPEED 14Mbps. Lakini nilivyo unlock tu ukirudi kwenye properties wakati iko connected SPEED inasoma 7.2Mbsp.
So nadhani uki unlock unapunguza efficiency interms of...
Nilikua na hii simu kipindi fulani. Kiukweli huwa inasumbua kiasi fulani. Na bila kuwa mtundu itakushinda kufanya settings. Kuna vitu viwili vya kunote, kwanza hii simu haiwezi kukubali 3G iwe enabled for all sim cards at the same time. That means unatakiwa line 1 uchague 2G ili uipe fursa line...
Mimi nili unlock hii modem ya tigo E 303, kwa offocial dcunlocker software. Ila baada ya kukamilisha zoezi nilivyocheki properties ikaonyesha capacity yake baada ni 7.5Mbps. That means nimeiunlock sawa lakini nimeipunguzia uwezo wa kutransmit data na kwakweli ilikua haina tena maana kwangu...
Ni kweli 143,000/= kwa tulio wengi ni ghali. Kuna ile package ya compact plus ambayo ni kama 92,000/= kwa mwezi wanakupa channel 2 za mpira zinazoonyesha epl na ligi nyingine kubwa za ulaya. That means ukiwa na hii package utaangalia ligi zote uzipendazo comfortably. Ila kiukweli bado hata hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.