Una mentality za kishamba sana na kama una elimu basi elimu yako haijakutoa ujinga kichwani, kumiliki Iphone sio utajiri na kumiliki tecno sio umasikini. Ni mapenzi ya mtu kumiliki kile anachokitaka na atatafuta namna akipate.
Mfano, kuna Mzee mmoja anamiliki kampuni ya usafirishaji na ana zaidi ya malori 100 lakini anatumia boxer kwenda ofisini wakati nyumbani kapaki Ranger, Land Cruiserv8. Sio kwamba hataki kutumia hayo magari ni mapenzi yake kwenye kuendesha pikipiki.
angalia mfano wako kisha usome tena maandishi yako..
mimi nimeshauri mtu maskini wewe unatoa mfano wa tajiri..
kwa akili yako unaona ni sahihi mtu mwenye buku 2 tu.. kunywa bia huku hujala chakula.. na unasema una mapenzi ya bia so kulala njaa ni sahihi...
mimi nimesema kwa mtu mwenye kipato kidogo... hebu soma tena ile comment yangu.. halafu isome na ya kwako.. ujione ulivyo