Mleta mada , Self driving cars siyo kitu cha leo wala kesho . Weka miaka zaidi ya kumi ijayo ndo self driving cars zianze kusambaa duniani. USA mwenyewe bado sana sana . Achana na propaganda za mitandaoni. Labda EV lakini self driving bado sana
Makosa ni ya Jobe , alisababisha pressure ambayo haikutegemewa na ikapelekea goli. Mpira ulikuwa wake ilitakiwa kumpa mtu pasi au kukimbia nao badala yake akaanza mbwembwe zisizo na msingi na mpira ukachukuliwa kirahisi . Kennedy na kipa hawahusiki kabisa
Raia umpe nafasi ya kujadili jeshi ? Raia anajua nini kuhusu jeshi ? Kama mtu huna uelewa na kitu inakuwaje unataka nafasi ya kujadili usichokijua ? Mtu mwenye nafasi ya kujadili ni yule mwenye uelewa wa hicho kinachojadiliwa , kama huna uelewa huwezi kujadili hata kidogo
Imagine Dunia inazunguka jua Kwa speed ya Karibia km 30 Kwa sekunde na hapo hapo inajizungusha kwenye mhimili wake, sasa rusha rocket ikatue kwenye sayari ya mars ambayo nayo inazunguka jua Kwa speed speed Kali sana na hapo hapo nayo inajizungusha kwenye mhimili wake. Zingatia kwamba mars ipo...
Ngoja anielekeze kesho nikachukue Oppo inayofanana na IPhone . Pia watumiaji wa iPhone mna ka ushamba flan hivi kujifanya mnaangalia EPL wakati ligi ya bongo ipo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.