Recent content by bobby freetown

  1. B

    Nilimtelekeza mke wangu, nimerudi nimekuta rafiki yangu kamuoa

    Asante ndugu kaveli kwa maelezo ya kina Hizo point za mwisho ulizojadili ndizo zimepelekea mm kufungua kesi, hiyo ni baada ya kufanya upelelezi Wa kina na kubaini hayo Naendelea na hiyo kesi, naamini hoja nilizoieleza court zina mashiko na zitasikilizwa Thanx
  2. B

    Nilimtelekeza mke wangu, nimerudi nimekuta rafiki yangu kamuoa

    Hakuna aliemzuia madam, arudishe tu nyumba ya watoto then akaishi kwa mmewe, ampendae si anapaswa kuwa na makazi!! Anaendaje kukaa kwa mwanaume mwenzie
  3. B

    Nilimtelekeza mke wangu, nimerudi nimekuta rafiki yangu kamuoa

    Ni kweli, ila makosa yangu hayafuti ya kwake pia
  4. B

    Nilimtelekeza mke wangu, nimerudi nimekuta rafiki yangu kamuoa

    Wakuu nawashukuru kwa ushauri na mawazo yenu, nimefarijika sana Lengo langu sio kumrudia ex wife wangu, mtu mwenye watoto wawili Wa mwanaume mwingine nitake kumrudia? Nitakua kichaa Nachotaka ni nyumba yangu isiende kwa mwanaume mwingine wakati watoto wapo pale, kama ningekuta majina kwenye...
  5. B

    Nilimtelekeza mke wangu, nimerudi nimekuta rafiki yangu kamuoa

    Salam zenu wanaume wenzangu, Mwaka 2006 nilipata matatizo kazini, nikafukuzwa kazi tulishikwa red handed mim ina mwenzangu tukiuza mafuta ya kampuni, nilikua nafanya kazi kwenye kampuni ya mafuta Kurasini. Kwa kweli nilikua na hela sana kutokana na kitengo nilichokuwepo, mabosi walinitumia...
  6. B

    Wizi wa Fastjet, TCAA mpo kweli?

    Fastjet ni hatari, hadi bites na vinywaji ndani ya ndege unauziwa, nimejionea mwenyewe Juzi nilipokua natoka mwanza
  7. B

    Mahusiano na mume wa mtu ni shughuli pevu

    Wapo waliozikimbia familia zao na kwenda kwa vimada permanently
  8. B

    Askofu Gwajima aidanganya mahakama

    Lengo lako ni nn hasa?
  9. B

    Said Arfi achukua fomu ya Ubunge kupitia CCM

    Hazuiliwi kwenda kokote ndo demokrasia hiyo Watu Wa vyama vingine wanapokuja chadema huwa hakuna shida, ila wanapotoka chadema kwenda kwingine ndo inakua dhambi
  10. B

    Mwanaume hawajibiki chochote katika familia

    Njoo kwangu huwa natoa msaada kwa wahitaji kama ww
Back
Top Bottom