Recent content by bob_fundi

  1. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Yule namna anavyo pinga ndio tatizo .labda angetoa elimu kwa jamii wew uwezi pinga umekunywa kale keupe.
  2. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu mzima tena wakati mwingine baba wa familia unawasha TV ili uangalie miziki au unafungulia redio kusikiliza muziki?

    Kwani kwa dunia ya sasa lazima mtu akae chini kwa saa 1 au zaidi kutazama taarifa ya habari Wakati kuna digital platform ambozo zinakupa habari hapo kwa hapo siyo mpaka saa 2 uck. Duniaxsasa imebadilika zamani tukio linatokea asubuhi wew mpk saa 2 uangalie.
  3. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Nasomaje Advanced chemistry?

    Anza na general ,then organic alafu ndio upigie physical. Soma moja maliza usitake kwenda na zote kwa pamoja
  4. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ubingwa wa ndondokela, Arsenal inapaswa kumfukuza Mikel Arteta

    Leta sababu wew umeona consistency ya arteta . Kwenye ligi amekuwa 2 3 in rows mpk tunakuja kuwa mabingwa Kelele zilikuwa ni aina ya wachezaji walio kuwa wanaanza mfano kwenye vikombe kama FA , carabao
  5. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania KERO Tunaojifunza magari VETA Mbeya, magari mengi ni mabovu

    Yani kama mtu una Yani kama mtu unaela bongo siyo sehemu ya kusoma kbs. Hamna sehemu taenda utakuta pako perfect angalau private sector wapo vzr.
  6. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Kwa comb ya PCP SIX ufaulu wa CDC naweza kupata kozi ya MD Kwa vyuo kama KCMC, Bugando na Kairuki?

    D ya nn? Lakn bado ningumu sana kupata hivyo vyuo jaribu kampala .lakn pia ada yake ni kubwa sana. 1. Kama nyumbani kwenu hampo vizuri utakuwa unaiweka familia kwenye madeni iliwewe usome . 2. Mm nina rafiki zangu walimaloza mwaka juzi 1 alikuwa na CCC na 2 alikuwa na CDB (chem, phy, bios)...
  7. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu course hizi za Diploma

    Sasa hata hiyo ajira unaweza kosa tu. Kwa hiyo lengo la kusoma siyo ajira kama unavyo sema .
  8. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu course hizi za Diploma

    Architecture ,lakin kwa nn usiende kwenye mambo ya technology kama AI/ML , DATA SCIENCE AND ENGINEERING,
  9. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Kesi ya madai

    Shukrani mkuu
Back
Top Bottom