Recent content by Bob Kimya

  1. Bob Kimya

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wa usiku wengi ni Walimu

    Bila walimu usingejua kuandika, acha masimango.
  2. Bob Kimya

    JamiiForums Tanzania Nikimpa msaada mwanaume mwenzangu nafsi yangu huwa inaridhika na kufurahi tofauti kama nikimsaidia mwanamke

    Ni kweli kabisa ni bora kumsadia mwanaume, Mwenzako,unaweza msaidia mwanamke akajua unamtaka.
  3. Bob Kimya

    JamiiForums Tanzania Mwigulu adai wananchi ndio walioshauri tuweke tozo

    Watanzanua tupo kaba mijibwa koko Tunapelekwa wanavyotaka.
  4. Bob Kimya

    JamiiForums Tanzania Nimefika jiji la Kampala, nilitoka Dar es Salaam saa 11 asubuhi

    Mpwayungu utakua,Mshikamano Guest House uko kwenu.
  5. Bob Kimya

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa na kitu kizito

    Duuu bora wewe nimekuta 7880 ela ya kvant ndogo. Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania.Amen
  6. Bob Kimya

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya 24,000 kwenye mshahara wa Julai, 2022 ni kweli?

    Mshahara ushatoka mda
  7. Bob Kimya

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasiokula bia au kilevi wana roho mbaya sana. Ukiwa nao makazini au unapoishi kuwa makini

    Kweli kabisa na mpemba mmoja ofisini Ana roho mbaya sana.
  8. Bob Kimya

    JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na huduma za AIRTEL

    Voda ndo wezi kabisa jamani? Kila siku nikiacha salio nakuta wamekata Mia mbili ata sijui nini.
  9. Bob Kimya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nashangaa Umeme kukatika Marekani!

    Baba akifufuka; kuna watu watakula sana viboko vya kutosha
  10. Bob Kimya

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KURUDISHA AC YA JF YA ZAMANI.

    Ndio username naikumbuka
  11. Bob Kimya

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KURUDISHA AC YA JF YA ZAMANI.

    Habari wakuu, Naomba msaada jinsi ya kuirudisha Ac I'd ya Jf ya zamani Nilijiunga toka mwaka 2015 lakini nimesahau password na email.
  12. Bob Kimya

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hatujaambiwa Ziara ya Rais Samia huko Marekani itakuwa ni ya Siku ngapi?

    Duuu my lost country Tanzania Rest in peace JPM
  13. Bob Kimya

    JamiiForums Tanzania Pikipiki inachelewa kuwaka asubuhi

    Badilisha plug
  14. Bob Kimya

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Old boss ni jasusi kamili
Back
Top Bottom