Recent content by Bob junior Serengeti

  1. Bob junior Serengeti

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nasimulia jinsi bosi wangu anavyopenda kinywaji, mara nyingine kutoa maamuzi akiwa amelewa, mtu akaniripoti nikaachishwa kazi; nifanyeje?

    Jishushe nenda kaombe msamaha . Next time punguza umbea fanya kazi yako pita hivi
  2. Bob junior Serengeti

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa nguvu kwa vijana wa Kitanzania

    UJUMBE WA NGUVU KWA VIJANA WA KITANZANIA Vijana wa Tanzania, hii dunia haitoi zawadi kwa watu wanaolala, bali kwa wale wanaoamka kila siku wakiwa na nia thabiti ya kubadilisha maisha yao kupitia jasho, maombi, na juhudi zisizoyumba. Ndoto zako ni halali haijalishi umetoka wapi au hali yako ya...
  3. Bob junior Serengeti

    JamiiForums Tanzania Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

    Ulichokosea nikutomwambia ukweli mapema , kingine kutoa hizo tattoo inawezekana nenda Medinova medical center Dar au Mlonganzila pia wanatoa hizo hudumu utachagua ww ufanyiwe laser or surgical.......
  4. Bob junior Serengeti

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

    Kwan uzoefu wangu zingatia mambo yafuatayo : - Hakikisha unaenda kwanza kwa hao wachina iliupate utaratibu wao na vigezo wanavyotaka. - Moisture content Ndo Kila kitu ila kwa mahindi mengi ya sasa ni ngumu kupata ambayo moisture content ipo chini ya 14 , hivyo unaweza ukatafuta location ambazo...
  5. Bob junior Serengeti

    JamiiForums Tanzania HARAKATI ZA KUUKIMBIA UMASIKINI

    Cover tu ya kitabu inaonyesha haupo serious ww
  6. Bob junior Serengeti

    JamiiForums Tanzania Ex wangu na mwanamke wake wananisumbua

    Watoto wa 2000 bhana
  7. Bob junior Serengeti

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Baada ya kumfanya mke wa mtu single mother ndo unakuja na point kwamba utaki kuoa single mother , kwani ulimkuta single mother???????? Wewe ni mwanaume take responsibility of the problems you caused , umeshaharibu ndoa ya watu na unakimbia we ni fala... Ushauri wangu ukijiridhisha jamaa kweli...
  8. Bob junior Serengeti

    JamiiForums Tanzania Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

    Bado hizo gari hazifiki kwa land cruiser Kama unafuatilia Nissan , landrover zilikwepo nyingi sana miaka ya nyuma ila sahivi sio nyingi sana kwenye government Nissan and landrover zipo ila kwenye mashirika ya serikali tunaziona nyingi tu. Rushwa inawezekana ipo , ila kwenye ubora Toyota...
  9. Bob junior Serengeti

    JamiiForums Tanzania Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

    Unaweza kutaja mfano wa hizo brand ambazo zinaweza kuwa reliable na zikaendana na mazingira yetu tofauti na brand za Toyota????
  10. Bob junior Serengeti

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    😄😄 Mdau inawezekana umelogwa ww sio bure ......
  11. Bob junior Serengeti

    JamiiForums Tanzania Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

    Unabidi uelewe kitu kimoja unaweza kuwa na pesa ya kununua gari lolote lile na kuhudumia lakini sababu huna elimu ya hilo gari , connection ya mafundi na info nyingine ikafanya gari usidumu nalo .. Inawezekana hata kumiliki gari ujawahi na unaandika huo upuuzi ukiwa umekaa kwenye kochi la...
  12. Bob junior Serengeti

    JamiiForums Tanzania Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

    Wewe ndo uwezo mdogo , swala la mtu kutaka kununua kitu na kuuliza sio baya anataka kupata uzoefu ilikufanya maamuzi sahihi , kama ulikuwa huna cha kuchangia ungekaa kimya ... Hao matajiri unaowasema hawakurupuki kununua gari sababu tu wanapesa wanafanya research pia kulingana na interest...
  13. Bob junior Serengeti

    JamiiForums Tanzania Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

    Sawa mwalimu wa math alisema ufiki mbali ila sio kwa dharau hizo 😄😄 .... Kichwa kimejaa maji hicho...
Back
Top Bottom