Recent content by bob giza

  1. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    nani kakwambia kafa wee chizi?? Au hujui maana ya r.i.p unajiandikia tuu...umeambiwa kapigwa risasi..hakuna mtu kasema amekufa wee unakimbilia r.i.p.....ungeandika kiswahili wala usingekosea kujishaua tuu na lugha za watu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    nashukuru sana mkuu!!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    umesomeka afande...ova
  4. B

    JamiiForums Tanzania Philipo Mulugo nusura amalize hasira zake kwa mwanafunzi

    wa kupimwa jinsia mwingine huyu ahahahaa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Philipo Mulugo nusura amalize hasira zake kwa mwanafunzi

    nyie wawili mnatakiwa mkapimwe jinsia sio bure.....maake sio wavaa suruali wote ni wanaume ahahahah sawa tutastaafu tuje fanya kazi yenu iyo.....
  6. B

    JamiiForums Tanzania Philipo Mulugo nusura amalize hasira zake kwa mwanafunzi

    sikia wee kenge, watz mna shida sana kuambiwa ukweli..ukiwa na mawazo ya kikenge watu watadhani wee kenge au wafanana na kenge..so hapo tusi liko wapi?? ni kama kumwita mwanaume wanayemnanihii shoga..utakuwa umemtukana wakati ndo jina lake??kwa mawazo yako hapo juu hata kenge wenzio...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Philipo Mulugo nusura amalize hasira zake kwa mwanafunzi

    kwaiyo cc wenye bosi wetu unatuambiaje wee kenge???
  8. B

    JamiiForums Tanzania Eti Ikulu imesema kuwa yaliyosemwa na Dk Ulimboka ni upuuzi

    nasikia jamaa wanakusubiri hospitali, ukiumwa hata kichwa tuu utajua....
  9. B

    JamiiForums Tanzania Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    we ndo ulomteka nn mbona povu dogo!!!
  10. B

    JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI KUTOKA POLISI: Jacky Daniel" imechangia kifo cha Kanumba

    jack Daniel's ni whisky inayoitwa Jack Daniel's wee mamdogo..
  11. B

    JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI KUTOKA POLISI: Jacky Daniel" imechangia kifo cha Kanumba

    wee ndo ukakojoe ukalale....maake kwa jinsi ulivoijibu msg ya jamaa inaonekana kabisa ndo unajifunza kufikiria...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kamanda Kamuhanda: 4 Songea, 1 Iringa

    ila fiesta ruksa mkuu si ndio maake na ulinzi unakuwepo ati ahahaha...au??
  13. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo ammaliza rasmi Mhando; Mama Rwakatare naye alipuliwa!

    ahahaha nakuona mama lwakatare....
  14. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo ammaliza rasmi Mhando; Mama Rwakatare naye alipuliwa!

    nasikia alifika tanesco akauliza mnaendeshaje shirika bila hata ya PhD moja...akauliza yaani tanesco shirika kubwa PhD za kutafuta ahahahahaha daaah...sawa yako Prof. tunyanyase tulioshia saint kayumbaz...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    ivi radio imani ndo ipi iyo>??naombeni masafa yake namm niisikilize nijue icho wanachotangaza...
Back
Top Bottom