Recent content by BoazChuma

  1. B

    JamiiForums Tanzania Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    Wanadhani kutokukupa nafasi ya kusalimia, ndo watakuwa wamekushusha ki siasa. Wanapoteza muda. Alopewa kapewa tu. Sent from my SM-G530F using JamiiForums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Zitto: Angalieni hali ya Wanafunzi, jirani yao Chato inajengwa Airport ya zaidi ya Tshs Bilioni 50

    Angalia na fb kaiweka hiyo. Picha na hayo maelezo ni ya zitto m.wenyewe.
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuoneeni huruma dada/mama zenu

    Na akina mama muache kutubambikia watoto. Una mkuta mwanamke mmoja ana wanaume 3. Ni haki hiyo?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mugabe asweka ndani mashoga hadi washike ujauzito

    Kwa hilo nampongeza sana mugabe
  5. B

    JamiiForums Tanzania DAR: Jengo la NHC zilipo ofisi za Tanzania Daima na Billicanas laanza kubomolewa

    Kwani nyumba waloibomoa niya kwake? Au ni ya shirika husika limeamua kuvunja nyumba yake?
  6. B

    JamiiForums Tanzania DAR: Jengo la NHC zilipo ofisi za Tanzania Daima na Billicanas laanza kubomolewa

    Dawa ya deni ni kulipa tu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania DAR: Jengo la NHC zilipo ofisi za Tanzania Daima na Billicanas laanza kubomolewa

    Kuna sinema kwa mtu alie amua kukutoa ndani ya nyumba yake?
  8. B

    JamiiForums Tanzania MwanaHALISI: Msaidizi wa Mbowe kuibuka... Ni Ben Saanane

    Mbona mambo haya yanachanganya sana?
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hivi kuna siku vyama vya siasa vya upinzani vita ruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara?
Back
Top Bottom