Recent content by boardwalk empire

  1. B

    Blandina Nyoni kujiuzulu?

    Hatimaye Mama Blandina Nyoni amejiunga katika timu ya victims wa Jamii Forums (JF) ambayo pamoja na wengine ni: LOWASSA BANGUSILO ROSTAM MGONJA BALALI Na wengineo ambao sina haja ya kutaja majina yao. Sababu kubwa aliyoitoa kwenye barua aliyoandika ni kuwa ameamua kuachia ngazi ili kumpa...
  2. B

    Hivi CHADEMA nao ni chama cha kifamilia kama CCM?

    mwenye chart kuonyesha who is who CHADEMA ailete
  3. B

    Nimrod Mkono: Atumia BILIONI 90 kujenga shule 7

    Jamani eeh nimepata data Shule 5 kati ya zile 7 katumia minimum 14 million USD Zile zingine 2 katumia 12 million USD kile chuo cha kujitegemea so far kashatumia 10 million USD contractor aliyewekwa pale ni class 1 alikuwa analipa mpaka mishahara ya walimu, vifaa vya kufundishia na...
  4. B

    Nimrod Mkono: Atumia BILIONI 90 kujenga shule 7

    kama kaiba kisha akainvest ndani ya nchi kwa kujenga shule mimi sina problem 100 billion in education Musoma... returns zitakuwa za kutisha sana
  5. B

    Ronald Baraka Shelukindo: Nitalichukua jimbo la Bumbuli 2015

    Kweli unamjia baraka aka PISHI ni mtu wa watu na akiamua kuingia kwa jinsi ninavyomfaham ataleta challenge kubwa sana kwa January Tatizo la Pishi ni UBAHILI....tobaaaaaa sifa yake kubwa ni ubahili lakini inawezekana anazichanga kwa ajili ya kampeni
  6. B

    Ronald Baraka Shelukindo: Nitalichukua jimbo la Bumbuli 2015

    kama baraka anao uwezo why not? lakini mimi naona hii ni January anam pre-empt jamaa kisha iwe kama Lazaro kama alivyosema mdau hapo juu
  7. B

    Nimrod Mkono: Atumia BILIONI 90 kujenga shule 7

    Unajua kwa standards za kujenga shule moja rough estimate ni 15 million USD jamaa kajenga shule 7 na pale kaweza contractors wa class 1 na pia kajaza kila kitu mle wataalam wa mambo ya ujenzi watasema kuwa kila shule ni zaidi ya pesa hiyo wewe umeziona huzo shule zenyewe?
  8. B

    Nimrod Mkono: Atumia BILIONI 90 kujenga shule 7

    mleta hoja kapindisha ukweli Huyu jamaa kashatumia close to 250 Billion tazama hapa: Musoma Rural Website huyu anaweza kulala na bado wakamrudisha jimboni bila taabu sasa jiulizeni ilikuwaje ROSTAM hakuweza kama huyu?
  9. B

    Hivi CHADEMA nao ni chama cha kifamilia kama CCM?

    Nashauri CHADEMA waiijibu hii topic nishajua kinachokonolewa nini humu
  10. B

    Regia: Video za Karimee ziko wapi?

    Kama Max & Co waliweza ku gharamia kutengeneza TSHIRT za JF cha kujiuliza how hard was it for them to have a Video crew on the ground kurecord the event kisha tukaipata kwenye YOUTUBE channel ya JAMII FORUMS? Kila kukicha tunapewa michakato tuuu JAMII MEDIA imeota mbawa au ndio wajuaji mmekuwa...
Back
Top Bottom