Recent content by BN-prodactioN

  1. BN-prodactioN

    JamiiForums Tanzania Ukiwaza dunia imekosewa au haijakamilika ujue tayari umeyabananga. Dunia iko perfect asilimia mia moja.

    Asilimia kubwa watu wanaona duninia haiko sawa hata wataule
  2. BN-prodactioN

    JamiiForums Tanzania Mohamed alipenda kujitofautisha tu kukataa kifo cha Yesu

    Hata ukiletewa ushahidi kwa jinsi ulivo utapinga tu pia, huu siyo wakati wakubishana eti sijui YESU alifufuka au alikufa siku ipi, AMINI kilichoandikwa
  3. BN-prodactioN

    JamiiForums Tanzania MWANASHERIA, NKIKO AMUUA MPENZI WAKE CHANZO NI WIVU WA MAPENZI

    Mmmmh!! Yana run dunia et
  4. BN-prodactioN

    JamiiForums Tanzania Mohamed alipenda kujitofautisha tu kukataa kifo cha Yesu

    Lengo lako hasa nini kupingana na kilichoandikwa kwenye biblia?
  5. BN-prodactioN

    JamiiForums Tanzania Mohamed alipenda kujitofautisha tu kukataa kifo cha Yesu

    YESU ni MUNGU, Alikufa, Akazikwa, siku ya tatu Akafufuka, Ameketi mkono wa kuume wa MUNGU baba huko mbinguni alishinda kifo na mauti
  6. BN-prodactioN

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kishirikina/kichawi ambayo sikutakiwa kukuambieni

    Pamoja kaka mkubwa
  7. BN-prodactioN

    JamiiForums Tanzania Nimewaza hili🤔

    Heshima kwako mkuu
  8. BN-prodactioN

    JamiiForums Tanzania Utakufa na maiti yako haitaonekana

    Mambo yote ni ubatili mtupu, na kujilisha upepo Roho ndiyo itiayo uzima mwili haufai kitu
  9. BN-prodactioN

    JamiiForums Tanzania Mo Dewj kufanya kufuru dirisha dogo

    Kwa Simba hii sidhani
  10. BN-prodactioN

    JamiiForums Tanzania Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

    Wajuvi wa sheria za kidini kujeni mfafanue
  11. BN-prodactioN

    JamiiForums Tanzania TBC isijidanganye kwa jina la serikali

    😃😄 Nazareth Upete njoo huku.
Back
Top Bottom