majengo ya moroco yalikuwa yameshafika stage ya mwisho ila mwamba akaamua tu kusimamisha hata kule kigamboni yalikuwa hayapo pabaya sema mwamba kila mtu alimuogopa hata kama ushahuri ulkuwa una manufaa watu walikaa kimya
Jana nimepita moroco na Kigamboni magorofa ya hifadhi ya jamii yaliyokuwa yametelekezwa yote yameanza kuendelezwa kwa Kigamboni nimeona wanafyeka majani maana kule hata nyoka walishaanza kufanya makazi kwa msitu wa majani uliokuwa umeanza kuota.
Na kwa Morocco ilikuwa ni suala la aibu...
ukianza kuchepuka tarajia hilo nyumbani pia, mwanamke akipenda ni kapend kweli, jua ww ndo umembadilisha mkeo na sasa anashindana na ww na huo moto wake hauzimiki, ipo siku atakuonA hufai kabisa
kwa kifupi hakuna maelewano kati ya wamiliki wa mtandao wa Bolt/uber/ nk na madereva kwani bei zinapangwa na wenye app na mamlaka aka latra wamekaa kimyaaaa wao kazi kukusanya mapato sio kusimamia usafiri wa mtandaoni kila siku wanaibuka na kitu kipya
ni kweli kabisa kuna kipindi cha mzee watu wa kanda ya ziwa walijazwa sana kwenye taasisi nyeti mpka kwenye mawizara na kila eneo wakaneemeka sasa hivyo mpka lini?? mabadiliko ni muhimu
hapana kaweka msingi na kwa level ya ndugai lazima atapeleka kwa waziri mkuu na raisi ili kubadilisha mfumo wa kuajiri ndani ya serikali, keki ya taifa iwe ni ta wote, kuanzia utumishi kitengo cha ajira, teuzi mbaliii mbali, na maeneo yote.... kuwe na sifa maalumu na watu wenye uwezo ndo wapate...
ndo wakati sahihi kwa viongozi kubadilisha mfumo kwa kupendelea watu wa sehemu viongozi wanapotoka badala yake wapewe watu kutokana na sifa stahiki, utumishi uwe wa wote sio wa kikundi fulani
yupo sahihi na sidhani lengo lake lilikuwa kwa walimu ni zaidi ya hapo, kuna namna hizi nafasi haziwezi kuwapata watu fulani hata kama wana uwezo kuliko hao waliopo kwenye mifumo kwq sababu ya kujuana tu
hakika suala la keki ya taifa linatakiwa kutazamwa upya kwa jicho la kipekee, najua mheshimiwa spika kagusia ajira za ualimu wataanza kufuatilia na kuwe na utaratibu maalumu wa kueleweka, ila hili suala ni pana zaidi kwenye ajira zitolewazo na mamlaka za uteuzi, nadhani hakuna kipindi kigumu...
kwanza mengi yanakuwa na more than one plate no, hii unaangalia tu kwa side mirror utaona tu kuna namba ya serikali halfu huku kwengine wamewela kawaida private, plate na za kioo hazifanani, pia wengine walivyo vaa ndani, taa wanavyowasha wakimkuta askari barabarani, taa za mbele, ving"ora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.