Recent content by BMW123

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kuuliza

    Jamani ukiwa 2 milion unaweza fanya biashara gani,naomba nijuzeni wanajavii
  2. B

    JamiiForums Tanzania PCCB kuna majina hayakuwemo kwenye Aptitude Test

    kama wako transpaent twende ofisin kwao j.tatu tukawaone
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini-PCCB

    wanajamvi kuna tatizo la rushwa napo hapo pccb ukiangalia majina security guard utaona kuna watu wameongezwa kama jina EMMANUEL CHARLES SIZYA hayupo kwenye orodha ya walioitwa interview na hayupo kwenye orodha ya waliofaulu aptutate test ila anapatikana kwenye orodha ya walioitwa kazini hii sio haki
  4. B

    JamiiForums Tanzania PCCB mbona kimya?

    bac muulize wako wangapi mkuu?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Updates PCCB

    niya kweli hayo big show
  6. B

    JamiiForums Tanzania Majibu ya PCCB

    Tuvumilie tu si unajua mambo ya badget
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye Updates za PCCB

    usiseme hivyo mkuu,mi nachoona huu ni unyanyasaji wa kifikira,baada ya kutuweka tuwe attention muda wote,si tuwaombe tu pccb watoe majina then watu waendelee kusubiri kulipoti kazin
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye Updates za PCCB

    Ni kweli tumbo linauma,sasa hao pccb waweke majina then watu waendelee kusubiri kureport kazini
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

    udini mwingi sana
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye Updates za PCCB

    Ndio tunahitaji uvumilivu lakin watoe majina ya watu waliofanikiwa kwenye web yao ndipo watu waendelee kuvumilia kuliko sasa,ukizima simu kidogo tu kosa,ushauri tu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye Updates za PCCB

    Jamani vip pccb kulikoni tena mpaka leo kinya?
Back
Top Bottom