KWELI STA ALIKIWEKA CHAMA PABAYA. LAZIMA ANYWE CHUNGU. aPENDE ASIPENDE. MAKOSA NI YAKE . KAKUNA WA KUMSAIDIA. AILIDHANI WENZIE WANGELALA. LA HASHA.
WALI ASIPOTEE VIWANJA VYA BUNGE
WAANDISHI WA HABARI KULENI SAHANI MOJA ASEME KILICHOMSIBU
Kwa hakika Anna hana CPD(T) lakini ni mwanzilishi wa pale Mzumbe wakati ule IDM.
Walikwenda kusoma pale wakaambiwa wanasoma CPA(T) .NBAA ilipoanza kazi wakaambiwa CPAT haipatikani Darasani .
lazzima uhenye . Walisoma miaka 4. hawakupewa CPA T
Hivo basi Anna ni Trainned Accountant cum Auditor...
kwanza PCCB au taasisi ya rushwa ni tamanio la utawala bora. kwa maana nyingine ikle ueleweke kuwa kuna utawala bora nchini inatulazimu tuwe na chombo kama hicho au kinachofanya kazi kama hawa PCCB. mimi kwa maoni yangu kiwe huru sio chini ya rais. kifanye kazi kwa uhuru sio kusafisha kina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.