Recent content by bmk

  1. bmk

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Tsh milioni 5-10. Hapa Mbeya Mjini naweza kufanya mradi/biashara gani yenye profit margin nzuri?

    Si ushafungua blog sasa biashara gani nyingine tukushauri bro?
  2. bmk

    JamiiForums Tanzania Wafahamu mabilionea walioanza maisha na 'kazi za ajabu'

    Kwa mbaali sana Bezo jeff na SSB wamefanana sana usoni.
  3. bmk

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dkt. Philip Mpango ni Roman Catholic halafu kaka yake Askofu Gerald Mpango alikuwa Anglican?

    Mimi Baba mlutheri, Mama Mmoreviani Mimi ni mFull gospel na mdogo wangu anayenifuata ni msabato. Shida iko wapi?
  4. bmk

    JamiiForums Tanzania Soko la Karume limeungua moto

    Upuuzi wetu wtzednia, yaani tunaona kabisa srkl hii iko kwa ajili ya matumbo yao, lakini bado tunawachekea, Acha kila mmoja aguswe ndipo sasa tuamke.
  5. bmk

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la kasi la ujenzi wa vituo vya kujazia mafuta (Petrol & Diesel)

    Tunahoji ongezeko la ujenzi wa vituo vya mafuta kama ni kuwa uchumi unaimarika zaidi ama biashara ya mafuta iko na margin nzuri ndiyo maana wawekezaji wazawa na wageni wanakimbilia kuifanya??? NI SIMPLE SANA KUELEWA, USITESE AKILI YAKO.
  6. bmk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapotafuta mke, hutakiwi kutumia nguvu kubwa

    Evelyn Salt Habari ya siku nyingi? Dah yalisemwa mengi sana juu yako...ASHUKURIWE MUNGU upo na unaendelea...Mungu akutunze miaka 1000. Binafsi I missed you so much...Dah if you don mind DM tafadhari.
  7. bmk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kwa hali hii nitakuwa na upungufu wa nguvu za kiume?

    Brother shida huwa kwa mwanamke, kama dakika tatu hajatoa UNAKUA UNAMTESA.
  8. bmk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kwa hali hii nitakuwa na upungufu wa nguvu za kiume?

    Vipi kuhusu speed ni: Pa pa pa pa paaa AU pa pa pa pa pa pa pa??
  9. bmk

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese mchango wake kwenye kesi ya Mbowe, hautasaulika

    Halafu, hakosei kosei hovyo.
  10. bmk

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali katika msafara wa Mkuu wa Mkoa Mwanza

    Dah inaumiza sana, Mungu awarehemu kwa kweli[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  11. bmk

    JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

    Huu ni ujinga sana
  12. bmk

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa kusafiri na Rocket kati ya Misri na Afrika ya Kusini

    Discovery channel inakuhusu wewe, AKILI KUBWA. Unaonekana kabisa kwenye DSTV yako huwekagi Bongo movie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1531]
  13. bmk

    JamiiForums Tanzania Upandikizaji Wa Elon Musk's Chip Kwenye Ubongo Kwa Binadamu Kuanza Mwaka Huu 2022

    666 ndo hiyooooo inakuja..
  14. bmk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

    UDSM
  15. bmk

    JamiiForums Tanzania William Lukuvi anaandaliwa kuwa Spika wa Bunge la JMT?

    Typo[COLOUR=#660099] instead of "Typing"
Back
Top Bottom