Je, kwa hali hii nitakuwa na upungufu wa nguvu za kiume?

Tafuta kitabu hiki
0756625286,kwa Aina ya tatizo lako kitakusaidia na masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano, uchumba na ndoa.

SULUHISHO - BOOK COVER 2-01.png
 
Habari wana jamji forums
Heri ya mwaka mpya....

Dhumuni la kuandika uzi huu ni juu ya tatizo linalonisibu katika kipindi hiki cha mahusiano yangu..

Mimi ni muathirika wa punyet0 kwa takribani miaka 8 (katika kipind cha miaka yote hiyo sikuwai kufanya huu mchezo zaidi ya mara 6 per month) nilianza mchezo huu tangu nikiwa secondari na sasa nina umri (× (20-30)

Kwa kipindi chote hicho sikuwai kukutana na msichana yoyote katika tendo la kujamiiana,, shida inayonifanya niandike uzi huu ni kwamba nina mahusiano yana takriban mwaka mmoja sasa ila changamoto ninaipata wakati wa kushiriki tendo,
Iko hivi::---

1.Wakati tukiwa tunashiriki nikitumia kinga naweza kudumu takriban dakika 15 mpaka 30

2,Nikitumia kinga kwa dakika mfano dk moja kisha nikaitoa nikaendelea bila kinga huwa naweza kudumu takriban dakika 8-10

3.Nisipotumia kabisa kinga wakati wa tendo huwa sifiki hata dk3 nakuwa tayari nimemaliza

4. Round ya pili nisipotumia kinga naweza kudumu kwa hata dk 10-15, na nikitumia kinga ni mpaka dk 30

Katika hali zote hizo kwa upande wa maumbile kusimama niko vizuri sioni udhaifu wowote, pia naweza shiriki tendo kwa zaidi hata ya round mbili(2) na bado nakuwa strong

KINACHONIPA MAWAZO NI KWAMBA JE!
KUtumia chini ya dk3 wakati wa kushiriki hawamu ya kwanza pasipo kutumia kinga inawezekana ni upungufu wa nguvu za kiume ???

Je nawezaje kutibu hili tatizo??
Vipi kuhusu speed ni:

Pa pa pa pa paaa

AU

pa pa pa pa pa pa pa??
 
Achana na stori za vijiweni Mkuu,

Kila siku tunasema humu,
punyeto haihusiani kabisa na tatizo la Nguvu za kiume.

Kama lipo tafuta ufumbuzi mwingine ila punyeto kamwe haiwezi kua chanzo Cha wewe kuwahi kufika kileleni.

ANAEBISHA ALETE USHAHIDI WA KITAALAM BILA KUACHA SHAKA
 
Hizo ni shida unazozitafuta mwenyewe tu.
Jf imekuharibu, kuna wadau humu wanakwambia wao la kwanza si chini ya dk 45 mpaka saa moja 😂😂.

Nahisi na wewe umepata wenge unataka uvunje rekodi.

Kwa ufupi tu, huna tatizo lolote. Kwa kawaida bap la kwanza hiwahi kutoka.
 
Kama unataka kudumu zaidi ya hizo dakika 3 angalau mpaka 45, basi wakati wa kusex waza mambo ya kodi (TRA), ndugu/rafiki mgonjwa, msiba wa waandishi wa habari.

Wakati unawaza hayo matukio hapo unapiga cherehani za kufa mtu pa pa pa pa, ukitaka kufika tamati rudisha mawazo yako kitandani.
Mimi nikiwazaga haya mambo ndio namaliza chapu huwa naona heri akili iwepo eneo la tukio hapo najisevia mda wa kutosha
 
Comment Za humu zinaweza kukufanya uwe depressed yani unakuta mtu anasema bao lakwanza yeye anakojoa baada ya saa moja na hapo mwanamke ameshamkojoza zaidi ya mara nne

Alafu ukijicheki wewe tako nne tu wazungu hao😅

Mkuu usijali uko vizuri kabisaa
 
Habari wana jamji forums
Heri ya mwaka mpya....

Dhumuni la kuandika uzi huu ni juu ya tatizo linalonisibu katika kipindi hiki cha mahusiano yangu..

Mimi ni muathirika wa punyet0 kwa takribani miaka 8 (katika kipind cha miaka yote hiyo sikuwai kufanya huu mchezo zaidi ya mara 6 per month) nilianza mchezo huu tangu nikiwa secondari na sasa nina umri (× (20-30)

Kwa kipindi chote hicho sikuwai kukutana na msichana yoyote katika tendo la kujamiiana,, shida inayonifanya niandike uzi huu ni kwamba nina mahusiano yana takriban mwaka mmoja sasa ila changamoto ninaipata wakati wa kushiriki tendo,
Iko hivi::---

1.Wakati tukiwa tunashiriki nikitumia kinga naweza kudumu takriban dakika 15 mpaka 30

2,Nikitumia kinga kwa dakika mfano dk moja kisha nikaitoa nikaendelea bila kinga huwa naweza kudumu takriban dakika 8-10

3.Nisipotumia kabisa kinga wakati wa tendo huwa sifiki hata dk3 nakuwa tayari nimemaliza

4. Round ya pili nisipotumia kinga naweza kudumu kwa hata dk 10-15, na nikitumia kinga ni mpaka dk 30

Katika hali zote hizo kwa upande wa maumbile kusimama niko vizuri sioni udhaifu wowote, pia naweza shiriki tendo kwa zaidi hata ya round mbili(2) na bado nakuwa strong

KINACHONIPA MAWAZO NI KWAMBA JE!
KUtumia chini ya dk3 wakati wa kushiriki hawamu ya kwanza pasipo kutumia kinga inawezekana ni upungufu wa nguvu za kiume ???

Je nawezaje kutibu hili tatizo??
Huna shida ww...
mm nshatoka shoo nying sana bila kumwaga kabisa..
na shoo zngine n Za siku nzima kila shoo sio chini ya 20min ad 45min
Ila simwag hata kdogo,

Ad sasa nakwambia nmesahau bao 2 ndo zkoje Mara nyingi ni moja tu napga...
Ila ilo moja ad nije nilipate sasa nishavuja jasho sana

Saiv nko naangaika kupata tiba ya kuwa kuwai kumwaga maana tunakimbiwa sasa
Tunaambiwa hatuliziki

Nyeto Noma...
Nashindwa kuelewa watu wanaosema ni wanachama alafu wanalalamika wanawai kumwaga ...mbona kwangu haiko ivo au
Am choosen, Am special..

Nam naitaj msaada wa kuwai kumwaga jaman atlist npge hata viwili ndan ya dakika 10...

Nawasilisha

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Huna tatizo, you are fit 100% .
Ila mitandao ya kijamii imekuharibu unajiona una tatizo.
You are normal.
Asitokee mpuuzi yeyote kukuuzia dawa za kuboost
Nilikutana na mtu anakaa masaa mawili ana Lima hakuwa wa kawaida kabisa..

Anamwaga humo humo kabisa si chini ya mara 3 anaunganishia mabao
 
Sijasoma yote ila Kama huna nguvu za kiume we ni fala km fala wengine tu muisome wanaume wote goigoi, isipokuwa tu wale waliopata ajali ama wazee,, ila wapiga nyeto nyie ni kama makopo tena ya jalalani
 
Ukisikia mtu anamsongo wa mawazo au sonono ndo hivi sasa na hiz ndio dalili...

Unashangaa tu gafla mtu kashikwa na hasira sehem Ambayo haistaiki kuwa na hasira...
Hiyo ndio depression or stress ilivo

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Ukisikia mtu anamsongo wa mawazo au sonono ndo hivi sasa na hiz ndio dalili...

Unashangaa tu gafla mtu kashikwa na hasira sehem Ambayo haistaiki kuwa na hasira...
Hiyo ndio depression or stress ilivo

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Kwakweli watu magoigoi km nyie hamfai ndo mnaongeza idadi ya wanaume kumbe Ni madebe tupu,,,itakuwa comment yangu imekugusa inywe tu hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom