Wasanii wa Bongo sasa ni muda wenu wa kutumika, kukata mauno kwenye majukwa ya kisiasa umefika. Mtapewa vijisenti na ubwabwa na kusahau matatizo na shida zenu Kwa muda, Baada ya uchaguzi shida na matatizo yenu yanabaki palepale. Mmekuwa kama Punda ambaye amezaliwa kuwatumikia wengine na kasuku...
Nimesulibiwa pamoja na Kristo, wala si mimi tena ninayeishi bali Kristo ndiye aishiye ndani
yangu. Uhai nilio nao sasa katika mwili, ninaishi kwa imani ya Mwana wa Mungu, aliyenipenda
na kujitoa kwa ajili yangu (Wagalatia 3:20).
Endelea kuamini unachoamini, dunia hii ina mengi na mambo ya kusitajabisha. Wapo wanaopinga uwepo wa Mungu . Hii ni sambamba na mawazo ya kiyumanisti(hali ya kuabudu binadamu badala ya Mungu) na kimatirialisti( hali ya kuabudu mali ya dunia badala ya Mungu. Wahiumanisti huamini kuwa mwanadamu...
Wewe endelea kubonyea tu mkuu, haya mambo mengine waachie wenyewe hii Bongo bwana kila mmoja anaishi kwa kupiga domo hata kama kwa mambo yasiyowezekana” utaishia kuambiwa hivyo kama huamini basi kalagabaho.
Mwanamke kujenga nyumba kwa siri inategemea na tabia za mume wake, unakuta mwanaume hamshirikishi mkewe Katika kitu chochote, hata kadi ya bank hajui namba zake za siri, hata simu Ina password mda wote Anna miradi msingi lakini hajWah kumuonyesha mkewe, hata sehem anapofanyia kazi mkewe hajui...
Mkuu, Kujihusisha na mpumbabu ni kuitesa roho. Huyu ni mjinga na mpumbabu. Anasema wanyamaze kimya Jambo la Katiba waachiwe wanasiasa; ujinga ni mzigo mzito Sana.
Siku zote viongozi wasiokuwa na sifa ya uongozi huwa hawakubali kukosolewa, wakidhani kuwa hiyo ndiyo njia sahihi ya kuthibitisha msimamo wao. Na Kiongozi wa namna hii siku zote upenda kusifiwa na kupongezwa hata kwa Mambo ya kijinga. Na yeyote yule atakayejitokeza kumpinga au kuongea ukweli...
Tunaoamini maandiko ukisoma mathayo 7:3-5 "Basi mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii? Au utamwambiaje nduguyo, niache nikitoe kibanzi katika Jiko lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.