Recent content by BLUEMAN

  1. BLUEMAN

    Nimelazimika kuileta hii video hapa, Nisamehe CHADEMA

    Safiiiii sana I like it
  2. BLUEMAN

    Msaada: Nataka kuweka meno ya bandia ya kudumu, inawezekana?

    Samahan wakuu hatakama nina mwanya naweza Pata jino la bandia la abalone litakuwa permanent kabisaaaa???
  3. BLUEMAN

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    in short nikiwa kama mnazi mkubwa wa real madrid tangu kitambo kidogo lakin sijawahi kuchangia kwenye uzi huu! tujiulize jambo moja tuna record mbaya sana ya nusu fainal za uefa ndan ya miaka 6 tumepita mara moja tu na kucheza fainal mpo hapo wakuu!!!!!
  4. BLUEMAN

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    hala madridi
  5. BLUEMAN

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    dah siku ya kufa nyani miti yote hutereza aise inauma sana hata penati!!!!!!
  6. BLUEMAN

    Je, Tanzania tumeridhia ushoga? Taasisi hii ichunguzwe...

    kweli ushoga upo jaman kuna mtandao mmoja neingia jana nilichokuta sijaaminacho yangu aiseee
  7. BLUEMAN

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    aiseeeeeee
  8. BLUEMAN

    Jitahidi mwanao asisome masomo ya Sanaa

    hili ni dongo kwa baadhi ya watu aiseeee
  9. BLUEMAN

    jaman wanajukwa la jf naomben ushauri wenu

    Nina mtoto wa kike ana miaka karibia mitatu sasa,tatizo lake kubwa ni mifupa yake haina nguvu kabisa!miguu kama inapinda kwa ndan!vidole vya mikono ukivinyoosha analia sana,magoti kama yamevimba !cha ajabu wiki iliyopita hadi shingo kuna wakati inakaza anashindwa kuwa flexible kabisa ! hata...
  10. BLUEMAN

    ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    hilo nalo neno ndan ya siku saba jaman hapa kuna walakin
  11. BLUEMAN

    Live updates: Uzinduzi rasmi wa ACT-wazalendo - Diamond Jubilee Hall

    haswa nani mwazilishi haswa wa act?
  12. BLUEMAN

    Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    point hapa ni zito je kama alikuwa si mwazilishi wa cha inakuwaje ndan ya muda mfupi anajiunga na chama na kupewa madaraka makubwa hivyo kama mfalme?act tanzania hata kama hamjui kusoma hata picha kuangalia du aibu sana sana
Back
Top Bottom