Asaante kwa makala nzuri...kama mwanaharakati wa uhifadhi wa mazingira andiko hili limenibariki sana.... Kama utaweza kufanya tafiti ukaja na majina ya hizo aina za miti na kutuwekea hapa utakuwa umefanya jambo kubwa kusaidia jamii yetu ipone...masna hali si shwari nafsi nyingi zinataabika...
Maarifa batili hayawezi kushika hatamu katika dunia hii tuishiyo.... Haitakaa itokee ....labda binadamu akigundua sayari nyingine akafanyie hayo lakini sio hapa tulipo.
Nimekutana na mtu wa aina hii...wakati ndio naanza kumfahamu na kunufaika na maarifa yake ..ghafla kachizika na mpaka sasa sijui alipo ...dunia ina mambo hii ..tuache tu.
Kweli kabisa kupatikana kwa technology ya kuharibu nuclear weapons yatakuwa mafanikio makubwa sana kama viumbe wa dunia tunaoishi kwenye karne hii....tumechoka na vitisho vya hawa mabwana wanaomiliki haya masilaha.
Mimi naona tuko vema kabisa.. Silaha nyingi za nini? Ukizingatia budget yake, handling cost na mabadiliko ya technolojia ...better have few and cop with new tech at its pace.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.