Nina ndugu yangu alifariki kwa ugonjwa wa alcoholic river desease yn ndugu zangu huu ni ugonjwa hatari unaokimbilia kwny ini, yn alikufa huku amekiri pombe ndiyo imesababisha. Yn tuliumia sana alikufa namuona kwa macho yangu, yy hakuwa malaya wala hakuvuta sigara ila pombe tu. Mume wangu...
Ni kweli hawana vipindi vingi kwenye TV. Ushauri wangu ni huu; wabuni vipindi vingi kwny TV kama ilivyo kwenye radio itapendeza sana,clauds ina watu wengi wenye ubunifu mkubwa, nina imani watarekebisha hivi karibuni.
Degree au hata Diploma huwezi fananisha na mtu aliyemaliza std 7 hata uwezo wa kupambanua mambo unakuwa mdogo sana. Ni wachache sana waliokomea la saba wanakuwa na utashi wa kuchanganua mambo, na utakuta wengi ni wale waliobobea kwenye dini sanaa! ndiyo wanaweza wakawa na utashi huo.
Huyu spika nilikuwa namuheshimu sana sana, ila naona anataka kujiharibia yani nimemshangaa sana jinsi alivyomdhalilisha Mh. Mnyika then kutoa adhabu kwa waheshimiwa Bulaya na Mdee! binafsi bado namshangaa huyu baba yetu kichwa chake kimeingiliwa na nini jamani? Tumuombee, nadhani kuna kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.