Recent content by blotter20

  1. B

    JamiiForums Tanzania KUFUNGA HUDUMA

    Habari zenu wanaJF Je hii mitandao ya simu inahuduma za kufungia baadhi ya number kupiga au kutuma ujumbe mfupi,kutuma salio,kutuma fedha kwenda number fulani isifanyike Mfano number ikipiga isiipate number fulani Number ikiituma message isimfikie mtu Salio likitumwa lisifike Tafadhali nipigie...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuhusu profile picture ya WhatsApp kwa wadada

    Wewe upo?????
  3. B

    JamiiForums Tanzania Uso wenye mafuta na vitobo

    Umeinunua wapi????
  4. B

    JamiiForums Tanzania Uso wenye mafuta na vitobo

    Habari zenu wana JF nina ndugu yangu ana uso wa namna hiyo msaada maana uso wake una mafuta mengi black spot n vitobo vitobo dawa yake ni nini????
  5. B

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

    Wapi naweza kupata mkopo wa haraka wana JF nisaidieni usio na riba kubwa???
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wapi wanatoa mikopo ya haraka kwa mikoa ya Mwanza?

    Habari zenu humu ndani wapi wanatoa mikopo ya haraka kwa mikoa ya mwanza???
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Inawezekana kweli mahusiano ya vijana wa miaka hii yakadumu pasipo ngono?

    Hivi ni kweli kwamba kila mwanamke anaeolewa yule ambaye anamuoa wanakuwa hawajakutana kimwili katika kipindi cha mahusiano kwa karne hii? Na kama ni kweli kwanini kuna msemo watu wengi wanadai mwanaume anaekuoa kama aliwahi kukutana kimwili na wewe katika kipindi cha mahusiano na akakuoa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania NACTE registration error

    Mi mwenyewe ilinitokea ivo lakin nilifanikiwa cijui nkuelekezeje
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Registration number inakataa NACTE

    Wanagoma kuniletea option ya kuupload vyet mpka niingize reg no
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Registration number inakataa NACTE

    Utumishi wa umma (tanzania public service college
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Utaratibu wa maombi kwa diploma holders tuliokwishaomba kupitia NACTE

    Yani tuko wengi i hope wataongeza muda
  12. B

    JamiiForums Tanzania Chuo gani wanatoa Postgraduate au Masters degree ya Monitoring and Evaluation?

    Also you can go to MSTCDC there kuna masters ya MOnitoring anf evaluation arusha
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Registration number inakataa NACTE

    Msaada jamani nikiaaply nacte bachellor nikiweka number registration inakataa inadai kuwa reg.no/examination number/graduation year is not in our system nimeenda jana nacte hakuna umeme nimerud leo anaehudumia matatizo ya namna hiyo hayupo sasa je tatizo linaweza kuwa nini jamani
  14. B

    JamiiForums Tanzania Maombi ya diploma yataanza lini?

    Habari zenu humu ndani naombeni kuuliza nikiingia kwenye website ya TCU nikitaka kuuapply for degree inadai the system is closed and will be opened on 31st July 2016. Sasa cha kushangaza mpaka Jana bado system haijafunguliwa. Nahitaji kujua kuna watu wanaoona hivo maana TCU hawapokei simu...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Friends/lover

    Hello, natafuta rafiki a.k. a lover,,,, Nina umri wa miaka 23 am currently working anyone. go for PM
Back
Top Bottom