kumchukia huyu baba ni kujitoa ufahamu! sijawah ona baya kwake kabisaaaaa, hizi chuki dhidi yake ni kujichumia dhambi… kuna video nimeona jana wananchi wanazingumza na kushukuru ujenzi wa vituo vya afya na mashule, sasa hizo nyingine za kutopendwa sijaziona. Statement hii ya Zitto naona ni kama...
[emoji3][emoji3][emoji3] Zitto nadhani huu ni muendelezo wa ile twitter yako juu ya PM majuma yaliyopita, umeona haikufanya kazi umeona uende huko huko Jimboni kwake [emoji3][emoji3] chuki ni mbaya sana, either uwe umetumwa au la… Mwcheni huyu baba wa watu amsaidie Rais Samia kazi, kumvuruga...
Nimekaa paleee nasoma comments, halafu namuwaza aliyeandika huu uzi akiona comment hazipo upande wake anajifeel vipi kwasasa… CCM iwe makini sana, wamuache Mama afanye kazi wamuandalie njia 2025, mkianza kutafuta vyeo kwasasa mtapoteza focus…
Natamani kuongea ila acha tuendelee kupiga kazi… Mama endelea kusimamia mipango yako, wananchi wanakutegemea sana kuwavusha… hiki ni kipindi cha kuwavusha watanzania
hivi huko kwenye mafunzo ndani ya Chama, Vyama vya upinzani huwa mnafundishana kitu gani! yaan mawazo ya hovyo ambayo hata mtoto wa standard 7 hawezi thubutu ongea..
Five Reasons Kenya Funds Evil Scenes in Ngorongoro Crater
By James Mulaitu, Kenya
June 13, 2022
Sponsored media and special tasks in my country (Kenya) are now busy misleading the world through false videos, pictures, and creating artificial scenes showing the Maasai in Ngorongoro crater badly...
Kwa mara kadhaa nilikuwa nikifuatilia mikutano ya PM na Jamii ya Wamasai, kwenye ule utaratibu wa kuishirikisha jamii ya Kimasai kwenye masuala ya uhifadhi, mara nyingi kauli zao ni kwamba wapo tayari kuwa wahifadhi wazuri ikiwemo eneo la pori tengefu la Loliondo
kuna baadhi ya masai kwenye ile...
[emoji419] NI YUPI ADUI NAMBA MOJA WA JAMII YA KIMASAI
Moja kati ya mbinu za kivita zilizowahi kuyapa ushindi mataifa mengi wakati wa vita, hapa nazungumzia vita 1 na ya 2 mathalan ni kumjua adui yako.
Theory hii sio tu unaweza kuitumia wakati wa vita, hata kwenye maisha ya kawaida, ukitaka...
Watanzania tumelogwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kila jitihada zinazofanyika hatuna pongezi ni negativity tuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hebu kwa hili tupongeze ushauri wa kina shabiby naona umefanyiwa kazi, tusubiri utekelezaji…
SERIKALI INATAFUTA NJIA MBADALA ZA KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA - MAJALIWA
*Aitisha kikao cha kutathmini bei ya mafuta
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala ambazo zitapunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika...
baada
bei
bei ya mafuta
chama cha mapinduzi
gharama
gharama za maisha
hatua
kuchukua
kuchukua hatua
kupunguza gharama
kushusha bei
mafuta
maisha
mbadala
serikali
wananchi
waziri mkuu majaliwa
Inasikitisha sana tunakoelekea, jana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea kata ya Loliondo mkoani Arusha na kwenye hoja za msingi alizoongelea tena kwa urefu na kuwapa wakazi wa eneo lile fursa ya kuchangia ni kuhusu pori tengefu la Loliondo.
Tena kama haitoshi alisisitiza kabisa kwamba...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewapongeza Wakuu wote wa Mikoa na Wakuu wote wa Wilaya nchini kwa kazi nzuri waliyofanya ya kusimamia miradi ya maendeleo na hasa ujenzi wa madarasa.
“Kupitia kwako Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya waliopo hapa, nitoe pongezi kwa Wakuu wengine wa Mikoa...
watu jaman kwa kutafuta wasomaji kwa aliyesikiliza ile clip hajataja Ndugai na alikuwa anakemea mgogoro wa viongozi kwenye msikiti wakati alipokuwa anauzindua [emoji23][emoji23][emoji23] wabongo wameconnect dots.
Acheni watu wafanye kazi, huyu mbaba wa watu mnamuandama sana, hebu njoo na facts na sio issue za kufikirika, creating fake analytical data and facts, hizo taarifa unazoweka unasahau Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais awamu ya 5 na walifanya kazi na Majaliwa, Matycoon wa Sukari mmeanza kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.