Recent content by Blick255

  1. Blick255

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni akalishwa chini licha ya kulipa nauli kamili

    Kiongozi zingatia hapa Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza bado fresh from school hajachamka bado so nikawaida ukizingatia ninakotoka kule kwetu mabondeni.
  2. Blick255

    JamiiForums Tanzania Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

    Hao wengine ni uamuzi wao
  3. Blick255

    JamiiForums Tanzania Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

    If you have faith in God nothing bad hapen to you so easly
  4. Blick255

    JamiiForums Tanzania Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

    Ila zingati hapa
  5. Blick255

    JamiiForums Tanzania El Nino isipokuja Samia arudishe hizo bilioni 700+

    Mafagio ya mamilioni hahaha Watu tunamkumbuka mwamba Jpm he always relay in God sahizi mpaka makanisa yanakosa imani na Mungu kwa kuogopa elnino.
  6. Blick255

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Unakika mkuu
  7. Blick255

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kuna kila dalili serikali inahusika na watu kupotea, kutokana na kauli za viongozi wake

    Ukipoteza kwani hutapotea njia yetu ni moja tu Mungu ndo anajua , wakati unapoteza wenzio jua nawewe ndo unapotea siku za Mungu huhesabika pia.
  8. Blick255

    JamiiForums Tanzania Usipuuze idea unazopata ukiwa kwenye maeneo haya:-

    100% mkuu
  9. Blick255

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar

    Tatizo mnaangalia upende mmoja tu ila kuna madereva wanaendesha vizuri tu na hawana shida Point 15 sio nyingi na mnajua maafisa usalama baadhi yao wakiona hawana hela ndo onakua fimbo ya kupigia.
  10. Blick255

    JamiiForums Tanzania CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

    Wapo wengi na kama kuna mtu anapinga hicho basi nae pigia mstari
  11. Blick255

    JamiiForums Tanzania China imefanya kitu cha kuishangaza dunia

    Inawezekana ila tukiwa na viongozi wenye msimamo na uwajibikaji
  12. Blick255

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mjadala wa Uwepo wa Mungu.

    Mungu yupo jana leo na hata milele ambae huamini uwepo wake subili ushuhudie Matendo yake siku inakuja
  13. Blick255

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mwalimu agomea kuhama, vitu vyake vyatolewa nje Siha

    Huyo kuna dili alikua anapiga nje ya ualimu ndo maan hatak.
Back
Top Bottom