Recent content by Blessingme

  1. Blessingme

    Nashukuru serikali awamu ya 5 kwa kutujali wanufaika wa mikopo, boom la pili tayari

    Cjasema hayo ila naona unamatarajio makubwa sana but ili kuyafikia kuna mengi utapitia so ni mapema sana kushukuru
  2. Blessingme

    Nashukuru serikali awamu ya 5 kwa kutujali wanufaika wa mikopo, boom la pili tayari

    Mimi huyo ok lakini tunakuombea umalize Salama ili one day urudie Uzi wako huu kuusoma
  3. Blessingme

    Nashukuru serikali awamu ya 5 kwa kutujali wanufaika wa mikopo, boom la pili tayari

    Dogo upo chuo maisha ya mtaani huyajui aisee hiyo hela ni ya moto subiri umalize uanze kuilipa
  4. Blessingme

    First Lady, Mama Janeth Magufuli yuko kwa TB Joshua leo

    Sioni cha ajabu ! Haya ni maisha binafsi ya kiimani, tumuacha mama aendelee kuliombea taifa hili, mungu akubariki sana mama
  5. Blessingme

    PSPTB hili somo la Strategic Supply Chain mbona hatuwaelewi?

    Hahahha duh hv we ni professional gani
  6. Blessingme

    Comparison between chinese construction companies and non chinese

    comparison between Chinese and Non Chinese Road Construction Projects in Tanzania
  7. Blessingme

    BVR wizi wa mauaji utakaofanywa na unaofanywa na CCM

    any way ni maoni ya watu ! ila watu wajitokeze kujiandikisha wawe na vitambulisho hayo mawazo ya wameanza sehemu zenye watu wa ccm au mashine zinazimwa makusudi si ya kweli tuwe waungwana tuu kwa hili
  8. Blessingme

    BVR wizi wa mauaji utakaofanywa na unaofanywa na CCM

    yap zina feni bt c muda wote feni itafanya kazi na kuregulate joto sawa sawa ndo maaana baada ya muda inajizima na ili uipumzishe kwa muda na huwa inawasha taa nyekundu
Back
Top Bottom