Recent content by blessed lenny

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ruhusu ajira sasa

    hata kujitolea kuna gharama mfano chakula, malazi,nauli,mavazi sema ww unadhani kila mtu ana mtegemezi, wengine wamesimama wenewe wao kama wao
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ruhusu ajira sasa

    nimecheka sana, ahsante kwa kuongeza siku zangu za kuishi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wazi kwa Waziri wa ajira na Rais Magufuli

    umekosea si TEMESA NI TaESA kama sijakosea, TEMESA ni wakala wa ufundi na umeme(Tanzania Electrical, Mechamical and Electronics Services Agency)
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa UKAWA: Unamaanisha kupinga yanayofanywa na Rais

    hayo ni maoni yako si ya wananchi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya SIDO yako wapi?

    Kama unataka makao makuu kwa maana ua taifa ni upanga lakini kama unataka sido kwa mkoa wa dsm ni nyerere road kituo kinaitwa sido ni next to vingunguti kama unatokea tazara kuelekea airport
  6. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli umeokoka unakubali kubeba mzigo wa dhuluma

    Kagame jana kosa maana tayari alishakiri yeye na mkurunziza hawana demokrasia na sasa anataka kikwete aoneshe demokrasia ili ajitofautishe na yeye pamoja na nkurunzinza
  7. B

    JamiiForums Tanzania Siendi tena TAESA

    si hapo tuu,,,,,,ukweli ni kwamba serikali inatumia pesa nying sana kulipa wafanyakazi ambao hawaingizi chochote. ni tatizo kubwa kuliko tunavyofikiria na kwa style hii serikali kupiga hatua kimaendeleo tusahau. anatakiwa mtu mmoja mwenye uchungu na serikali ili afumue kila kitu na kujenga upya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tamko la Mbatia lisipuuzwe na Serikali hata kidogo

    ww una uwezo wa kujua kilichopo moyoni mwa mtu? nani awezae kujua mawazo ya mtu? kwani wote waendao kwenye mazishi fulani wana dhamira ya kweli? unapima kwa kipimo gani ili ujue mwenye dhamira ya kweli na asiye na dhamira ya kweli? tangu lini tanzania tuna tamaduni za kuchagua watu wa kwenda...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na wanaowaahidi ajira humu kwa kuweka namba za simu

    existence for the fittest
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF /ZSSF)

    MIMI pia nakushauri kuingia kwenye website ya kila mmoja pitia kwa utulivu na kufanya maamuzi kulingana na mahitaji yako. kila mtu ana mipango yake na mahitaji yake binafsi
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea

    Samahani sana, halikuwa lengo langu. mimi nilivyoona mambo ya cummulative grade nikajua bado hujamaliza. mimi ninavyojua kama tayar umemaliza unapata GPA na si CGPA na huwa haina decimal places mbili. Pole na samahani sana halikuwa lengo langu na nina muda sijatembelea huku ndo sababu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Waungwana Mnaonaje Mwelekeo wa siasa hapa nchini mwetu kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu?

    Kuna jukwaa la Siasa mpendwa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nina Utata Dhidi ya Vietel Tanzania Company

    no research no right to talk, hawa jamaa wapo na wanafanya kazi hata kama ww huwafahamu serikali inawafahamu
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya marafiki wapya na nafasi ya kutafuta kazi

    What a wonderful idea is? Keep rocking a man of God.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa Recruitment Portal ya Secretarieti ya ajira

    tunachanganya mambo, ndugu hiyo tarehe ni tarehe ile ambayo ww ulifanya hiyo application, na first interview ni status ya hiyo post kwa sasa
Back
Top Bottom