Recent content by blessed happy

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nimemkosea sana mke wangu. Ushauri wenu tafadhali

    Wanaume mnaowaambia wanawake watoe mimba kwa kweli cjui niwape jina gani,mnakua hamjatatua tatizo, maana hujui uyo anayetolewa angekua nani hapa duniani maybe angekua raisi, doctor or whatever sasa kwakuogopa binadamu mnzako unamfanyia ukatili uliyempa mimba atoe baada ya hapo unajisifu nakuona...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kutoka kimapenzi na huyu binamu yangu?

    Usile bwana mtachukiana buree Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa waliopo kwenye mahusiano...

    Shukuru mungu umezaa ukijiheshimu atarudi tu ww sasa hivi unatakiwa usome sana kwaajili ya mwanao uweze kumuhudumia na maisha yaendelee Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nimesalitiwa ila nashindwa kumuacha. Je, nimuoe?

    Bado unampenda pamoja na comments zote utakua haujipendi hata kidogo utatumiwa na kuachwa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nimesalitiwa ila nashindwa kumuacha. Je, nimuoe?

    Duh pole ila demu hakupendi anakuigizia Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mwanamke ukawapenda wanaume wawili kwa pamoja?

    Ulitaka akwambie nakupenda ww zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

    Pole tunapitia wote mapito hayo mbona,kikubwa ni kukausha tu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

    Njoo tena Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke inapoelekea nitampiga nifungwe bure

    Pole sana,kutomrudia tu inatosha dear na move on,ikiwemo acha pombe na tafuta mwingine tena jifanye huna kitu uone atakuchukuliaje uyo mwingine,love yourself, kwake ibaki story tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanaume Bongo TZ huwadharau wanawake watongozao wanaume?

    100% yes Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke black beauty

    Here I am Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ladies: Kuwa na mwanaume anayekupenda na si unayempenda wewe

    Tkitangulia kuwapenda mnatuumiza Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kumwacha/Kumsahau mwanamke anaekupa Papuchi kila mara unapoitaka

    Sure 100% Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom