Recent content by Blessed Agent

  1. Blessed Agent

    Natoa wito Jeshi na Walalahoi tumuunge Mkono Kapten Tesha. Tumlinde ni moja ya Tunu za Taifa

    Mbona Ile "Taarifa kwa Umma" ya Jana kama una walau D mbili tu unaelewa kuwa ndiye au siye... Au uko kitambaa cheupe unajipoza 😂
  2. Blessed Agent

    Natoa wito Jeshi na Walalahoi tumuunge Mkono Kapten Tesha. Tumlinde ni moja ya Tunu za Taifa

    Hii ni kete ya muhimu ambayo possible washauri wa Mama hawajajua au labda anashauriwa lkn hashauriki. Refer Sikio la kufa...
  3. Blessed Agent

    Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

    Jadili hoja sio personality za watu. Hata wewe unaweza kuwa na disorders kama vile Uvivu lakini ukiongea Ukweli utabaki kuwa ukweli regardless ya Uvivu ulionao. So point of correction Hoja za Gwajima kama una akili timamu ni ukweli mtupu regardless ya personal disorder ya Utapeli uliyoisema.
  4. Blessed Agent

    My Top 5 list ya Movie Series of All Time

    Naam mkuu, uwe na siku njema Cheers 🥂
  5. Blessed Agent

    7 natural laws of business

    I bet huyu bwana ni Mhaya😂😂
  6. Blessed Agent

    My Top 5 list ya Movie Series of All Time

    Kuna List hii; 1. The Night Agent 2. Breaking Bad 3. Hanna 4. Extraction 5. Hawaii 5
  7. Blessed Agent

    My Top 5 list ya Movie Series of All Time

    Namna rahisi ingia YouTube ilishapandishwa huko full ziko episode zote 41 ingia link hii https://youtu.be/MQ6m9ONYVJ4?si=qbloABUrjBPhZSw6
  8. Blessed Agent

    Home makers: Beauty and stylish

    Chief heshima yako nashindwa kukutext inbox nina Jambo fulani nahitaji msaada
  9. Blessed Agent

    Kama kweli Mungu yupo, basi hana nguvu

    Dahh JF kuna watu ni ma-Genius sana. We Jamaa umeandika hoja ya pekee sana kuwahi kuiona UBARIKIWE SANA 🙏
  10. Blessed Agent

    Mungu baada ya kukataliwa na Wanadamu zaidi ya mara mbili akaamua kwenda Mbali na uso wa Dunia

    Brother sjui kwanin umefikiria yote hayo lakini niseme tu ni Bahati mbaya ulizaliwa Afrika. Wewe ni Genius sana ulitakiwa upige Cheers na kina Albert Stein huko.
  11. Blessed Agent

    Home makers: Beauty and stylish

    Mkuu heshima yako nimekutafta inbox imeshindikana nilikuwa naomba mawasiliano yako kuna jambo naomba unisaidie.
  12. Blessed Agent

    Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

    Inaitwa Deep State kwa lugha rahisi
Back
Top Bottom