7 natural laws of business

7 natural laws of business

Uzi umenikumbusha miaka kama 10 iliyopita Niko na Mzee tunauza grocery kuna vitu baadhi nilikuwa naona ila kuuliza nauchuna sijui ni utoto,

Kwa kipindi hicho glocery zilifunguliwa kama ushindani Kwa mida tofauti lakini haikutoboa hata 1 na wahudumu ni wanaume japo majirani walitumia pisi Kali na vimini vyao,

Kuna kiofisi kingine kama 2016 hesabu zilianza kuvurugika tukachukua hatua za ulinzi nimemaliza kuset kesho yake mida ya mchana namuona mbabu Fulani anakuja kafika mbele ya ofisi kachunguliiia hakuongea chochote akageuza alikotoka

Nashukuru saana Kwa Uzi huu umenikumbusha mengine Mengi kiongozi ubarikiwe, NAANZA SASA
 
Hatua gani za ulinzi uliset?
 
Hapa tanzania,kwenye tafiti zangu nimeona hawa jamaa wa dark side,wana back up kubwa sana kuliko watu wa light side,hii haimaanishi kuwa nguvu ya M-ngu wa light side ni ndogo..noo..namaanisha watu wa M-ngu hawana organisations za kiroho,hawana divine associations ambazo zinge act kama back up spiritually and financially,hizi back up zipo nyingi sana in the dark side,naongea haya kwa uchungu sana kwasababu mzee wangu,mzee fabi alikuwa na ndoto ya kuanzisha back up organization hapa bongo lkn mpk anakufa hakufanikisha ndoto yake.
Tanzanian Dream kwa kiwango kikubwa cha uzoefu na enlightenment level uliyopo....why usianzishe back up organization mkuu
 
Mimi naamini kabisa biashara ni kiroho zaidi, nilishawahi kupigwa hasad (evil eye) kwenye biashara, yaani wateja wanakupita kamà jiwe vile, mwisho nikafunga. Hiyo ilikuwa ni baada ya watu wawili kunitamkia kwamba "yaani jengo zima wewe ndio unaongoza kwa kuuza". Laiti ningelijua hii siri ya damu ya Mwana wa Mungu mapema.
 
Naam
 
Ukitaka ulinzi wa kiroho katika biashara yako na mali kuwa mwaminifu sanaa katika kutoa zaka kamili. Kuna siri kubwa sana katika utoaji wa zaka, I will recommend mkaangalie Interview youtube ya Dr.king'ori na Pastor T-mwangi about "How spiritual is Money"

Malaki 3:10-11
[10]Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.

[11]Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi.

Hii law anaweza kutumia mtu yeyote regardless ya dini na akapata matokeo. Mf. Serikali ya ukraine inaweza kutoa kiasi flani cha rasilimali zao kwa marekani kwa lengo la guarantee ya ulinzi. Endapo ukraine itavamiwa basi marekani atamlinda. Kwahivyo, apa muhimu ni kuangalia taifa lenye nguvu zaidi ili kujihakikishia usalama imara.

Vivyo, hivyo unatoa sehemu ya kipato chako kwa Mungu ambae ana nguvu kuliko miungu yote kujihakikishia usalama thabiti.

Nasikitika sana kusema hivi lakini sina namna, Wakristo wengi tunahangaika sana na kuteswa na shetani kwasababu hatumjui Mungu wala hatufahamu uweza wa Nguvu zake. We underestimate the magnitude of God's power.

Utakutana na mtu anasema anamwamini Mungu and ofcourse they do! Lakini sio kwa kiwango cha kumtegemea. God wants total dependence.

Tunaenda kanisani kama utaratibu tu tuliojiwekea, math 15:8-9
"Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami. Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu"

Shetani anacheza na kitu kidogo saana kwenye maisha yetu, Maamuzi "Decision Making". Choices. Mf.anaweza kutajirisha watu wake kupitia sisi, anateka akili zetu tukanunue vitu kwa watu wake.

Huwezi kuitumia damu ya Yesu kama hirizi, utakua unajidanganya.. naona wengi wanauliza namna ya kuipata, ni lazima kwanza moyoni mwako umpokee Kristo naye akufanye kiumbe kipya, uwe mwana wa Ufalme wa Mungu, ndipo utajua thamani ya Damu ya Yesu.

Lastly, kuna level ya wealth na influence huwezi kufika kama huna spiritual assistance of either sides. This world is more spiritual than you can ever think. Holy spirit is the greatest of all. Choose wisely.
 
Wakati tunafundishwa elimu ya ujasiriamali, 1986-1987, walialikwa wafanya biashara ambao walikuwa wamefanikiwa kibiashara karibu na chuo ambao hawakuwahi kupata elimu ya ujasiriamali, walimu walifanya hivyo baada ya sisi wanafunzi kupata somo linalohusu tabia za wajasiriamali waliofanikiwa duniani yaani PEC'S personal entrepreneurial competences

Tafadhali msiende kwa waganga hakuna siri ya kufanya biashara na kufanikiwa

Niulizeni mimi chochote kuhusu ujasiriamali nimebobea haswa

In entrepreneurship we learn how to do business not about business

Kwenye elimu ya ujasiriamali tunajifunza jinsi ya kufanya biashara lakini siyo kuhusu biashara
Sawa mkuu hatuendi, lakini unaona mkulungwa alivyofanyiwa "vya kienyeji" hatimae ktk kupambana akajikuta uchawini?
 
Back
Top Bottom