Recent content by BLESS MIHILA

  1. BLESS MIHILA

    JamiiForums Tanzania Mbowe ampongeza Magufuli kutenganisha wizara ya nishati na madini

    Nimecheka sana usiku huu
  2. BLESS MIHILA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, hamuwezi kumsaidia mwanamke mpaka ufanye nae mapenzi?

    Mjali anaye kujali bhana! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. BLESS MIHILA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, hamuwezi kumsaidia mwanamke mpaka ufanye nae mapenzi?

    We mpe tu,sasa kama anakusaidia kwanini na wewe usimsaidie! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. BLESS MIHILA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko king'ang'anizi

    Watu wameangamia kwa kukosa maarifa! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. BLESS MIHILA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli hii ya huyu mwanamke sijaielewa, Ukija kwangu marufuku kunywa pombe!!!!!

    Wewe jifanye mjinga uone nia yake! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. BLESS MIHILA

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Naomba mwenye kujua namna ya kupata fomu ya kujiunga na IRKISONGO SEKONDARI ILIYOPO MONDULI ARUSHA kuna mdogo wangu amechaguliwa huko!
  7. BLESS MIHILA

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imeanza kuachia pesa

    Mtaongea sana na kupoteza muda,tumieni maarifa ya kawaida kutatua changamoto zinazowazunguka vinginevyo mtakufa kwa kihoro dhidi ya Mhe.JPM
  8. BLESS MIHILA

    JamiiForums Tanzania Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

    Mapenzi ya Mungu yatimizwe kwa kadiri ya kiu ya wazazi wa kiumbe kitarajiwa!
  9. BLESS MIHILA

    JamiiForums Tanzania Hivi tumejifunza nini kwa kifo cha mchezaji Ismail Khalfani wa Mbao Fc?

    Ni kweli huenda kulikuwa na Uzembe wa huduma ya kwanza lakini kazi ya Bwana huwa haina makosa,R.I.P mtoto wa Nyumbani!
  10. BLESS MIHILA

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Israel yafungua Ubalozi Tanzania

    Hizo ni habari njema!
  11. BLESS MIHILA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania True Story: Dada mrembo aliyeamua kuambukiza UKIMWI kwa makusudi

    Mtoa mada Mungu anakuona eti
  12. BLESS MIHILA

    JamiiForums Tanzania Ambulance yaupisha msafara wa mke wa rais Kivukoni

    Easy come easy go,think big acheni kuleta utani kwenye mambo ya msingi!
  13. BLESS MIHILA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

    Ha ha ha ha,Mungu anakuona mkuu kwa kauli yako ingawa ni kweli!!
  14. BLESS MIHILA

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi, niweke pesa kwenye kamari ipi nipasue?

    Anza na kitu kidogo unachoweza kukimudu mkuu!!!!!!
Back
Top Bottom