aliisaac1000
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 407
- 272
Tumekua ni watu wakusimulia tukio linapotokea na baada ya muda tunasahau na maisha yanaendelea bila kujifunza wapi tumekosea na nini kifanyike. Mfano ni tukio la mchezaji ismail wa mbao fc. ukiliangalia kwa makini inawezekana ni mshtuko wa moyo baada ya kuanguka hivyo kusababisha moyo kusimama ghafla,
Iwapo katika hadhara kama ile wangekuepo watu wa red cross ilikua ni suala la kumfanyia cpr kwa kustua moyo, hii ni aina ya first aid ya kwanza kwa tukio kama lile ambalo hata wachezaji wanatakiwa wapewe mafunzo ya ya huduma ya kwanza,
Ni kitu cha kushangaza kuona wachezaji hawajui chochote wanaonekana wakimshikashika miguu tuu bila ya kujua nini cha kufanya na cha ajabu zaidi 'KATIKA MICHEZO KAMA HII HAKUNA WATU WA FIRST AID' na ambulance, huu ni uzembe mkubwa kwa waandaaji.
Tubadilike.