Recent content by Blauzi mbovu

  1. Blauzi mbovu

    Mussa: Mwakinyo alifungulia Mbwa wakanishambulia kwa zaidi ya Saa 1, nilikataa tamaa nikisubiri kufa

    Saa 11 alfajiri alikuwa anatokea wapi ? Tufanye alikuwa anadharula ya kutoka, Ok. Mwenye dharula yake anaanzaje kuokota nazi ? Na siku zote nazi sio embe kwamba zitaanguka zenyewe mtini. Kilichonichefua zaidi ni kuweka NAZI kwenye shati. Pumbavu kabisa. Ila alichofanya champion boy ni makosa.
  2. Blauzi mbovu

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Katika ile clip makonda hakukemea kupromotiwa ulevi pekee, na ndio maana alimtaja mpaka Dr shika, rudi uiskilize vzuri. Alichokemea yy ni kuwapromote vijana wa hovyo, Kwa kifupi WAHUNI, ndo ambao alikemea kupromotiwa na kufanywa brand. Sasa wadudu sio WAHUNI !? Kuna tofauti gani kati ya pierre...
  3. Blauzi mbovu

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Ukisema "wadudu wanadirishwa ili wawe watu wa maana," unamaanisha kwa sasa ni watu wa hovyo. Na ndo ukweli upo hivyo. Na kwakuwa pierre naye alikuwa mtu wa hovyo, kwanini asingeadirishwa ili awe mtu wa maana.
  4. Blauzi mbovu

    Korea Kusini: Viwango vya Uzazi vyazidi kushuka. Hofu ya kutoweka kwa Taifa yaibuka

    Na hata tukirudi kwenye msaada wa kipesa, mtoto anahaki ya kumsaidia baba yake alichokikosa ikiwa ye anacho.
  5. Blauzi mbovu

    Korea Kusini: Viwango vya Uzazi vyazidi kushuka. Hofu ya kutoweka kwa Taifa yaibuka

    Ujuha mbaya ni kudhani kuwa masikini hawezi kumsaidia mtu, lkn ujuha mbaya zaidi ni kudhani msaada ni pesa tu, unatakiwa ujue kuwa hata kuuguzwa wakati wa maradhi pia ni msaada. Ukiwa huna watoto, ni masikini na unamaradhi jua umeyaingia mateso yasiyo vumilika, yani angalau uwe na pesa unaweza...
  6. Blauzi mbovu

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Yaani kama ningekuwa mtu wa siasa ningeichukua video ya wadudu wa R chuga wakiingia uwanjani leo Meimosi, then nikaimute sauti halafu nikaipandishia juu yake sauti ya mheshimiwa alipokuwa akimpa makavu Pierre liquid pale mlimani city ili niwe najiburudisha.
  7. Blauzi mbovu

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Wadau mtaniwia radhi kwa hili, Nimeshuhudia mara nyingi kwa wanasiasa kuwa leo ana msimamo huu kesho ule. Na leo limejirudia kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha mheshimiwa Paul makonda. Wakati ule alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliwahi kumchana makavu Pierre liquid(pale Mlimani city kwenye...
  8. Blauzi mbovu

    Korea Kusini: Viwango vya Uzazi vyazidi kushuka. Hofu ya kutoweka kwa Taifa yaibuka

    Sa utajuaje km kwenye maisha yako unaweza kutunza idadi flani ya watoto wakati maisha huwa yanabadilika ? Na hata tukichukulia maisha yako ni magumu ukaacha kuzaa nani atakusaidia ukizeeka !?
  9. Blauzi mbovu

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Ni kama vile jamaa amepita na huu uzi https://www.jamiiforums.com/threads/napendekeza-iundwe-tume-huru-ya-kuchunguza-kifo-cha-hayati-magufuli.1871631/?amp=1
  10. Blauzi mbovu

    Burkina Faso: Zaidi ya Watu 10 wauawa katika shambulio msikitini

    Wakatoliki wameona wenzao wanafaidi, Nao wanatafuta mabikira wa uzimani.
  11. Blauzi mbovu

    Kenya: Padri afia hotelini akiwa na Mwanamke anayehisiwa kuwa mpenzi wake

    Sasa km mtaani watu wameoa na wanabaka kwa kiwango hiki tunachokiona, unadhani ingekatazwa kuoa watu wangebakana kwa kiwango gani ? Pengin hata wewe ungeingia kwenye genge la wabakaji. Na siku NDOA ikipigwa marufuku nakuhakikishia 95% ya watu wazima watabaka, 05% ndo watasalimika. Kwa kifupi...
  12. Blauzi mbovu

    Haaland azomewa na mashabiki wake baada ya mechi

    Shobo dundo Vs Lastborn, mpk sasa ubao unasomeka moja moja [1 : 1].
Back
Top Bottom