Recent content by blasted masawe

  1. B

    JamiiForums Tanzania Sugu agoma kusoma hotuba ya Upinzani katika Wizara ya Habari baada ya kukuta 80% ya maneno yameondolewa! Naibu Spika ataka isiwekwe kwenye kumbukumbu

    HAPA tulipofikia hakuna haja ya vyama vingi hii ni kuendelea kuchezea kodi za walala hoi.
  2. B

    JamiiForums Tanzania CCM walipitisha kikotoo kumbe wanajua hawajapeleka 3.74bln. Ufisadi CCM hautaisha

    Hilo halitakuwa suluhisho wala jibu la matatizo ya nchi hii tena pengine kwa kutokupiga kura ukakuta unaongeza matatizo. Nakushauri kama hili limekushinda jaribu jingine. Never surrender to difficulties. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania Polisi na ubaguzi na chanzo cha machafuko, wazuia mkutano wa Mbunge Kubenea na kuwaruhusu Polepole kufanya mkutano kwenye jimbo la Kubenea

    HATA bashiri wa sudan alikuwa na akili kama zako. Kesho siyo yako ni ya BWANA MUNGU usijidanganye. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nilishasema mpaka Rais atoke upande fulani wa nchi, ndio hii nchi itaendelea

    Shallow minds discuss people but broad minds discuss ideas. Huhitaji kuulizia akili ya mtu huyu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la CAG: Spika Ndugai mtumie vizuri Msaidizi wako Ndg. Saidi Yakubu

    Kwenye "HOLLY BIBLE" kuna Mfalme mmoja alipewa fursa na Mola wake aombe chochote naye ANGEPEWA. Basi Mfalme Suleyman kwa kuwa alikuwa mcha MUNGU ROHO wa BWANA MUNGU akamjia akamwambia mwombe Hekima na Maarifa na moyo wa Adili kusudi uweze kuwaongoza na kuwahukumu wana wa Israeli kwa haki. Naye...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda inataanza baada ya haya kukamilika

    Mandela alipokuwa anadai uhuru wa south afrika kulikuwa hakuna wawekezaji? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Bunge uko wapi?

    Nimekuelewa P Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kautafiti kadogo

    D Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Magufuli anamtumia Makonda kulipiza kisasi anakosea sana

    Kama tunasubiri muda ufike kamwe haufiki leo wala kesho na utakapofika kama unavyoomba mama yangu mzazi Tanzania itakuwa imebaki hoi bin taabani. KAMA hii miaka mitatu tuko hivi hiyo tusiyoijua itafika lini itakuwa je? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    JamiiForums Tanzania CCM imekosa uhalali wa kuendelea kuwa chama cha siasa nchini

    Mbuyu alianza kama mchicha. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kijana anayeendelea kushabikia upinzani Tanzania apaswa kupimwa uelewa wake!!

    FIKA LUMUMBA UJE UCHUKUE POSHO YAKO FASTA.BUKU SABA ZIMEFANYA MMEKUA WEREVUMAZEZETA Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama inaweza kuingilia maamuzi ya Bunge?

    Tuangalie tulipojikwa maana yajayo yanafikirisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalumu kwa mheshimiwa Tundu Lissu

    Yehodaya siyo Askofu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalumu kwa mheshimiwa Tundu Lissu

    Wewe ni mnafiki na bazazi nyamaza watu watamwelewa tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. B

    JamiiForums Tanzania Je, ujio wa ACT-Wazalendo mpya ndio mwisho wa umaarufu wa CHADEMA?

    Due la kuku Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom