businesslink
Senior Member
- Mar 20, 2019
- 129
- 113
Spika Ndugu Ndugai akiwa na Saidi Yakubu na Balozi wetu nchini Qatar kwenye mkutano
Ukitaka kumjua Mfalme basi tazama watu waliomzunguka.
Spika wetu Job Ndugai kwa bahati nzuri sana ana Katibu ambaye ni msomi wa hali ya juu wa Sheria mwenye weledi na sifa kem kem kama ilivyoanishwa kwenye profile ya kampuni yake ya Uanasharia ya Yakubu & Associates Chamber.
Saidi Othman Yakubu, LLB (Hons), M.A Corp Gov, FCIS | Yakubu Chambers
Advocate Saidi Othman Yakubu, LLB (Hons), M.A Corp Gov, FCIS Managing Counsel Advocate Yakubu is a UK trained attorney. He is a member of the Chartered Institute of Company Secretaries and Administrators. He is also a member of the Association of International Petroleum Negotiators.
yakubuchambers.com
Ndugu Yakubu ambaye pia ambaye pia naamini angefaa pia kuwa ni mshauri wake wa masuala ya sheria ni mtu msomi na mwenye uwezo na exposure ya hali ya juu toka kwenye vyuo vya ndani na nje angeweza kumshauri vizuri sana Spika Ndugai na hasa kwenye hili suala la CAG.
Siamini kuwa Ndugu Ndugai angeweza kutoa matamko matamko na kufanya maamuzi ambayo kwa kiasi kikubwa yanamwingiza yeye na taifa katika sintofahamu na kadhia kubwa ya namna hii.
Ombi kwa Spika Ndugai, mtumie vizuri Ndugu Saidi Yakubu vizuri ili uepukane na mambo ambayo hayana msigi kwa taifa.
Mheshimiwa Rais anapambana na rushwa na ufujaji na ufisadi kila mahala na naturally CAG pamoja na Bunge zilitakiwa ziwe mstari wa mbele kwenye vita dhidi ya ufisadi kwa kushirikiana pamoja na vijana kama akina Yakubu wapo na wangetumiwa zaidi kwenye ushauri na kuweka mambo sawa.