Mahakama inaweza kuingilia maamuzi ya Bunge?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,006
Ndugu zangu,

Bila kuathiri katiba na sheria za nchi ni jinsi gani au wakati gani mahakama inaweza kupindua maamuzi ya Bunge yanayofanyika kwa mujibu wa kanuni na miongozo ya Bunge.

Hivi karibuni tulishuhudia Mdogo wangu Zitto Kabwe akiitaka mahakama ibatilishe uamuzi wa Bunge kumuita CAG japo maamuzi ya kesi ile hayajatoka....muda utatujibu.

Natamani niione hati ya mashitaka ya kijana wangu Joshua Nassari.

Tuvute subira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni msani anapumbaza Watanzania tu alikua wapi siku zote....kasi itatimuliwa ili ahame vzr....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni mara ya kwanza mahakama kubatilisha maamuzi ya bunge.
 
Ndugu zangu,

Bila kuathiri katiba na sheria za nchi ni jinsi gani au wakati gani mahakama inaweza kupindua maamuzi ya Bunge yanayofanyika kwa mujibu wa kanuni na miongozo ya Bunge.

Hivi karibuni tulishuhudia Mdogo wangu Zitto Kabwe akiitaka mahakama ibatilishe uamuzi wa Bunge kumuita CAG japo maamuzi ya kesi ile hayajatoka....muda utatujibu.

Natamani niione hati ya mashitaka ya kijana wangu Joshua Nassari.

Tuvute subira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ya kijinga kabisa, wanaopinga ubunge wa mbunge aliyeapishwa na bunge mahakamani hujawahi kuwaona?
Hujawahi kuona mtu akivuliwa ubunge na mahakama?
 
Ndugu zangu,

Bila kuathiri katiba na sheria za nchi ni jinsi gani au wakati gani mahakama inaweza kupindua maamuzi ya Bunge yanayofanyika kwa mujibu wa kanuni na miongozo ya Bunge.

Hivi karibuni tulishuhudia Mdogo wangu Zitto Kabwe akiitaka mahakama ibatilishe uamuzi wa Bunge kumuita CAG japo maamuzi ya kesi ile hayajatoka....muda utatujibu.

Natamani niione hati ya mashitaka ya kijana wangu Joshua Nassari.

Tuvute subira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuangalie tulipojikwa maana yajayo yanafikirisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Bila kuathiri katiba na sheria za nchi ni jinsi gani au wakati gani mahakama inaweza kupindua maamuzi ya Bunge yanayofanyika kwa mujibu wa kanuni na miongozo ya Bunge.

Hivi karibuni tulishuhudia Mdogo wangu Zitto Kabwe akiitaka mahakama ibatilishe uamuzi wa Bunge kumuita CAG japo maamuzi ya kesi ile hayajatoka....muda utatujibu.

Natamani niione hati ya mashitaka ya kijana wangu Joshua Nassari.

Tuvute subira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo haliwezi kutokea unless liwe linahusu uvunjaji wa katiba na hivyo liwakilishwe kwenye mahakama ya katiba.

Katiba iko wazi kuwa mbunge atakayekosa kuhudhuria mikutano mitatu mfululizo bila ya kuwa na RUHUSA ya spika atakoma kuwa mbunge. Nassari hakuwa na ruhusa hizo, full stop! Hizo bla bla zake hazisaidii cho chote. Kama aliuguliwa kwa nini hakuomba ruhusa toka kwa spika ya kumpeleka huyo mgonjwa wake nje ya nchi kwa matibabu na kwa gharama yake mwenyewe? Kwa nini hakuomba ruhusa kabla ya kusafiri? Hata kama ilikuwa ni dharura, kwa nini hakumpigia hata simu spika kumwomba ruhusa na barua ikafuata baadaye? Barua pepe anayodai kumpelekea spika wala haikuwa ya kuomba ruhusa bali ya kumjulisha tu kwamba yuko huko ulaya (bila ruhusa) na kwamba mke wake kajifungua mtoto salama! Barua yenyewe imejaa kejeli kwa spika hususani: all my best ...... I reiterate ... and so on. Hata heading ya hiyo barua si ya kuomba ruhusa! Katiba iko wazi kuwa alipaswa kuomba na kupewa ruhusa. Hakufanya hivyo.

Utetezi wake kuwa alisaini na kulipwa posho ya kikao cha kamati za bunge mwezi Septemba hakina mashiko. Kusaini na kulipwa posho si ushahidi kuwa ulihudhuria kikao. Ushahidi ni attendancy register ya kikao. Wapo ambao husaini au kusainiwa na rafiki zao kuchukua malipo bila kuhudhuria vikao husika. Hata kama alihudhuria hiko kikao kimoja cha kamati halafu akatoroka mkutano mzima wa bunge hilo la mwezi Septemba haibadilishi cho chote kuhusiana na mikutano aliyokosa kuhudhuria bila ruksa ya spika, kinyume na katiba ya nchi.
 
Sio maamuzi ya bunge pekee hadi maamuzi ya serikali yako onevu yanapigwa chini na muhimili wa mahakama.
 
Ndugu zangu,

Bila kuathiri katiba na sheria za nchi ni jinsi gani au wakati gani mahakama inaweza kupindua maamuzi ya Bunge yanayofanyika kwa mujibu wa kanuni na miongozo ya Bunge.

Hivi karibuni tulishuhudia Mdogo wangu Zitto Kabwe akiitaka mahakama ibatilishe uamuzi wa Bunge kumuita CAG japo maamuzi ya kesi ile hayajatoka....muda utatujibu.

Natamani niione hati ya mashitaka ya kijana wangu Joshua Nassari.

Tuvute subira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maamuzi Yalishatoka Na Zito alikula za Uso

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni mara ya kwanza mahakama kubatilisha maamuzi ya bunge.
Inawezekana, tupatie mfano! Nijuavyo mahakama inaingilia kati kutafsiri na kutengua sheria tu, nazo ni zile zinoenda kinyume na katiba ya nchi. Si maamuzi ya utekelezaji wa kanuni za kibunge ilizojiwekea
 
Hili jambo gumu... Kawaida hakuna aliye juu ya katiba. Na hakuna sheria, kanuni au taratibu zilizo juu ya katiba. Sasa spika kaamua, is he the final authority? Watu wakiona wameonewa na Speaker, wanapaswa kwenda wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo haliwezi kutokea unless liwe linahusu uvunjaji wa katiba na hivyo liwakilishwe kwenye mahakama ya katiba.

Katiba iko wazi kuwa mbunge atakayekosa kuhudhuria mikutano mitatu mfululizo bila ya kuwa na RUHUSA ya spika atakoma kuwa mbunge. Nassari hakuwa na ruhusa hizo, full stop! Hizo bla bla zake hazisaidii cho chote. Kama aliuguliwa kwa nini hakuomba ruhusa toka kwa spika ya kumpeleka huyo mgonjwa wake nje ya nchi kwa matibabu na kwa gharama yake mwenyewe? Kwa nini hakuomba ruhusa kabla ya kusafiri? Hata kama ilikuwa ni dharura, kwa nini hakumpigia hata simu spika kumwomba ruhusa na barua ikafuata baadaye? Barua pepe anayodai kumpelekea spika wala haikuwa ya kuomba ruhusa bali ya kumjulisha tu kwamba yuko huko ulaya (bila ruhusa) na kwamba mke wake kajifungua mtoto salama! Barua yenyewe imejaa kejeli kwa spika hususani: all my best ...... I reiterate ... and so on. Hata heading ya hiyo barua si ya kuomba ruhusa! Katiba iko wazi kuwa alipaswa kuomba na kupewa ruhusa. Hakufanya hivyo.

Utetezi wake kuwa alisaini na kulipwa posho ya kikao cha kamati za bunge mwezi Septemba hakina mashiko. Kusaini na kulipwa posho si ushahidi kuwa ulihudhuria kikao. Ushahidi ni attendancy register ya kikao. Wapo ambao husaini au kusainiwa na rafiki zao kuchukua malipo bila kuhudhuria vikao husika. Hata kama alihudhuria hiko kikao kimoja cha kamati halafu akatoroka mkutano mzima wa bunge hilo la mwezi Septemba haibadilishi cho chote kuhusiana na mikutano aliyokosa kuhudhuria bila ruksa ya spika, kinyume na katiba ya nchi.
Mi si mwanasheria lakini hata logic tu inaonesha huko Bungeni kuna tatizo LA uongozi. Malipo ya kikao yanalipwa baada ya kikao husika na siyo kabla.
 
Pamoja na roho mbayaaaaa ya ndugai. nasari amechangia sana kumpa mianya ndugai ya kumfutia ubunge wake.

Kwa uzoefu wa nasari na kwa kuzingatia hali ya siasa tuliyonayo hakupaswa kuchukulia mambo kwa uzembe kiasi hiki. Maana anajua kabisa kua ndugai Sasa anategea tuu kosadogo kutoka kwa mpinzani ili amuadhibu.

Natambua kabisa kua ndugai haaminiki kwa chochotee, maana kama aliahidi kwenda muona lisu na hakwenda, mara akasema bunge limetoa pesa ya matibabu ya lisu huku akijua ni uongoooo. Na leo hiii hadharani ndugai anasema hajui lisu aliko . ndugai haaminiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endapo aliyeunga mkono tu kauli ya CAG kuwa bunge ni dhaifu alipewa nafasi ya kujieleza na kujitetea mbele ya kamati ya bunge ya maadili kinga na madaraka ya bunge, sembuse mbunge anayevuliwa ubunge asipate nafasi ya kujitetea! Ni kanuni gani hizo duniani! Ni kanuni gani zinazokiuka Katiba ya nchi juu ya haki ya kujitetea dhidi ya mashtaka yanayomuathiri mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo haliwezi kutokea unless liwe linahusu uvunjaji wa katiba na hivyo liwakilishwe kwenye mahakama ya katiba.

Katiba iko wazi kuwa mbunge atakayekosa kuhudhuria mikutano mitatu mfululizo bila ya kuwa na RUHUSA ya spika atakoma kuwa mbunge. Nassari hakuwa na ruhusa hizo, full stop! Hizo bla bla zake hazisaidii cho chote. Kama aliuguliwa kwa nini hakuomba ruhusa toka kwa spika ya kumpeleka huyo mgonjwa wake nje ya nchi kwa matibabu na kwa gharama yake mwenyewe? Kwa nini hakuomba ruhusa kabla ya kusafiri? Hata kama ilikuwa ni dharura, kwa nini hakumpigia hata simu spika kumwomba ruhusa na barua ikafuata baadaye? Barua pepe anayodai kumpelekea spika wala haikuwa ya kuomba ruhusa bali ya kumjulisha tu kwamba yuko huko ulaya (bila ruhusa) na kwamba mke wake kajifungua mtoto salama! Barua yenyewe imejaa kejeli kwa spika hususani: all my best ...... I reiterate ... and so on. Hata heading ya hiyo barua si ya kuomba ruhusa! Katiba iko wazi kuwa alipaswa kuomba na kupewa ruhusa. Hakufanya hivyo.

Utetezi wake kuwa alisaini na kulipwa posho ya kikao cha kamati za bunge mwezi Septemba hakina mashiko. Kusaini na kulipwa posho si ushahidi kuwa ulihudhuria kikao. Ushahidi ni attendancy register ya kikao. Wapo ambao husaini au kusainiwa na rafiki zao kuchukua malipo bila kuhudhuria vikao husika. Hata kama alihudhuria hiko kikao kimoja cha kamati halafu akatoroka mkutano mzima wa bunge hilo la mwezi Septemba haibadilishi cho chote kuhusiana na mikutano aliyokosa kuhudhuria bila ruksa ya spika, kinyume na katiba ya nchi.
Nguvu ya hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom