nilifika pale mwezi wa tano mwaka huu nkaoneshwa bar ya mheshimiwa Ndugai daah hata nlitahamaki sana, hata bar ya mjomba wangu ambaye kwa siku mauzo ni laki na nusu haiko vile.
Habarini wana mjengo huu wa jamii f.
Wiki iliyopita kuna mzungu wangu kutoka USA aliniambia nimtumie details zangu zote maana kuna vitu anataka anitumie, sasa je hizo details ni zipi jamani? Maana ninachokijua waga ni email, so please wazoefu naomba muweke uzoefu wenu hapa.
Habarini wana mjengo huu wa jamii f.
Wiki iliyopita kuna mzungu wangu kutoka USA aliniambia nimtumie details zangu zote maana kuna vitu anataka anitumie, sasa je hizo details ni zipi jamani? maana nachokijua waga ni email, so please wazoefu naomba muweke uzoefu wenu hapa.
Kudadeki goma limetiki taah ase nyie jamaa zangu wa JF n msala kaah, asanteni sana wajomba zangu wote mlotupia jina na huyu jamaa aloweka link much thanks ase kwani wote mpo right, now nipo naenjoy zaga.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.