Hii nyimbo ya 'Sheila Shaeila' ni ya nani?

Hii nyimbo ya 'Sheila Shaeila' ni ya nani?

blanketyy

Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
31
Reaction score
13
Habarini wakuu,

Kuna huu wimbo wa kitambo kidogo miaka ya 2008 ndo nilikua nikiusikiaga, sasa nimeukumbuka sana nataka niu-download ila kila nikiuliza kwa namna tofauti google siupati.

Nikaona hapa JF ndo mahala pakuupata, so naombeni link yake au jina la mwimbaji, wenyewe unaimbwa hivi "sheila sheila wewahuruma, lakini nimempata wangu mimi sheilaaa ooh ooh ooh sheilaaaaaah×2.

Naombeni plz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wajomba, kuna huu wimbo wa kitambo kidogo miaka ya 2008 ndo nlikua nikiusikiaga, sasa nimeukumbuka sana nataka niudownload ila kila nikiuliza kwa namna tofauti google soupati, nikaona hapa JF ndo mahala pakuupata, so naombeni link yake au jina la mwimbaji, wenyewe unaimbwa hivi "sheila sheila wewahuruma, lakini nimempata wangu mimi sheilaaa ooh ooh ooh sheilaaaaaah×2. Naombeni plz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaitwa sheila by esther wassira
 
HIVI ALITOAGA WIMBO HUU TU AU KUNA NYENGINE.
 
Mimi natamani sana kuupata wimbo wa msanii mmoja hivi anaitwa Nani na wimbo wake unaitwa GITA.

Please mwenye link ya kuniwezesha kuusikiliza huo wimbo anisaidie.
 
Mimi natamani sana kuupata wimbo wa msanii mmoja hivi anaitwa Nani na wimbo wake unaitwa GITA.

Please mwenye link ya kuniwezesha kuusikiliza huo wimbo anisaidie.

"Gitaa gitaa gitaa gitaa gitaa gitaa,.....mpenzi gita mi nnapokuitaaa" ngoma kali hiyo balaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom