Recent content by blak

  1. blak

    Series (Special thread)

    Kuna mpya inaitwa Tehran itafuteni hii kitu Sent from my WAS-LX2J using JamiiForums mobile app
  2. blak

    Zinedine Zidane Zizzou alikuwa vipi enzi zake?

    Huyu jamaa alienda kufanya trial Benfica wakati huo Eusebio akiwa supervisior wa vijana unaambiwa within ten minutes akawekwa pembeni akamwambia hakuna haja yakuendelea ushapita tayari
  3. blak

    Zinedine Zidane Zizzou alikuwa vipi enzi zake?

    Msimsahau my best number 10 of all the time Rui Manuel Cesar costa
  4. blak

    Series (Special thread)

    Roman ni genius
  5. blak

    Series (Special thread)

    Exactly at least toxic wap
  6. blak

    Series (Special thread)

    Hahahah brother men Noah mills
  7. blak

    Series (Special thread)

    My favorite TV shows The unit. 24 Prison break 24 legacy The black list The last ship Queen of the south Strike back(now season6) Power Shooter Six Blindspot Designated survivor Hostages Seal team Narcos Finding Escobar's...
  8. blak

    Hawa ndio wanasoka wanaopewa kick sana kuliko uwezo wao

    Nakumbuka aliondoka Barcelona baada ya ujio wa Gaucho ikawa hakuna namna lazma ampishe fundi wa mpira
  9. blak

    Hawa ndio wanasoka wanaopewa kick sana kuliko uwezo wao

    Ni kweli requelme aligombana na maradona akaamua kustaafu national team...ila ni moja yakipaj bora kabisa kuwahi kutokea na aliachana na soka la ulaya kisa matatizo ya kifamilia
  10. blak

    Hawa ndio wanasoka wanaopewa kick sana kuliko uwezo wao

    Kwenye Mpira kuna wapenzi na mashabiki wa mpira...ushabiki ukizidi huaribu maana nzima ya mpira
  11. blak

    Hawa ndio wanasoka wanaopewa kick sana kuliko uwezo wao

    Uliwasahau hawa watu wawili Juan roman Riqelme na Marcos senna....alaf anamtaja kante ivi Claude makelele atakaa wapi?
  12. blak

    Hawa ndio wanasoka wanaopewa kick sana kuliko uwezo wao

    Acha uwongo drogba sio top scorer wa chelsea....frank8 lampard ndo mbabe pale ana goli211...didier yuko no4 ana goli 164
  13. blak

    Hawa ndio wanasoka wanaopewa kick sana kuliko uwezo wao

    Hayo ndo matatizo ya kuanza kuangalia mpira miaka ya 2009...mtu anaefaham soka hawez kusema eti cavani ni bora kuliko zlatan....cavani huyu anaekosa kosa magoli kipuuz
  14. blak

    Hawa ndio wanasoka wanaopewa kick sana kuliko uwezo wao

    Unamfananisha neymar na Walcott?...mapenzi yakizid huaribu dhana nzima ya soka...unaizungumzia England ambayo hata kipaji cha isco kwa sasa hawana.hao england si walienda na Beckham world cup kule ujerumani kisa akae tu kwenye benchi ili kuzisumbua kamera
  15. blak

    Hawa ndio wanasoka wanaopewa kick sana kuliko uwezo wao

    Mkubwa iv zlatan umemfahamu kipindi yuko united? Unamshushia sana heshima kumfananisha na drogba inawezekana hujawah kumuona zlatan wa inter,ac Milan na barca ndo mana unasema nae ni overrated
Back
Top Bottom