Recent content by Blair Bacon

  1. Blair Bacon

    JamiiForums Tanzania JKT yatangaza nafasi za kujitolea. Vijana watakiwa kutambua Jeshi halitoi Ajira

    50k kwa service man, 30k kwa kuruti.
  2. Blair Bacon

    JamiiForums Tanzania JKT yatangaza nafasi za kujitolea. Vijana watakiwa kutambua Jeshi halitoi Ajira

    mimi mkate na karanga mbichi
  3. Blair Bacon

    JamiiForums Tanzania JKT yatangaza nafasi za kujitolea. Vijana watakiwa kutambua Jeshi halitoi Ajira

    bro posho 30k, na hapo kuna makato.
  4. Blair Bacon

    JamiiForums Tanzania Maadui walioizunguka Israel wako zaidi ya million 500 ni nini kinachowashinda kuifuta Israel?

    Zaidi ya asilimia 90 ya waisraeli ni waumini ya dini ya kiyahudi, hawamuamini Yesu wala Mungu unaemuamini wewe, wanaiamini Torah, 3% ya waisrael ndo wakristo. Endelea kuliita Israel Taifa la Mungu. Israel ina adui mmoja tu ambae ni Iran, sasa sijui hao maadui zaidi 500m umewatoa wapi...
  5. Blair Bacon

    JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta kati ya Tanzania na Uganda lakabiliwa na changamoto za kisheria

    Mafuta yatatoka Uganda kwenda Tanga? Mleta mada hebu tuweke sawa kidogo... Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
  6. Blair Bacon

    JamiiForums Tanzania Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

    Hamna mwana CCM mcha Mungu. Inshort hamna mwanasiasa mcha Mungu
  7. Blair Bacon

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua nyota

    First and fore most kuna tofauti kati ya nyota (stars) na kundi nyota (Constellations), unazoziongelea wewe hapo ni kundi nyota (Constellations) na sio Nyota. Second, hamna uhusiano wowote kati ya kundi nyota na tabia au mwenendo wa bin Adam. huu ni uzushi uliopewa jina la Astrology ambao hauna...
  8. Blair Bacon

    JamiiForums Tanzania Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

    Sociopathic behaviours hailetwi na ugonjwa wa akili, its mainly contributed na mambo mtu aliyopitia katika early or tender age, mfano mtoto akipitia psychological torture, kunyanyaswa, kupigwa au hata kubakwa, mara nyingi hawa watu wanakuja kua na anti social behaviours wakiwa wakubwa. Tofauti...
  9. Blair Bacon

    JamiiForums Tanzania Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

    Mkuu ungesoma na watu wanaoitwa ma psychopaths before haujaandika hii kitu, maana hapa umewaelezea psychopaths na sio sociopaths. There is a huge difference between them
Back
Top Bottom