Ushauri bora kabisa huu.
Kama kukusikia amesikia, otherwise atakua ana sababu nyingine za kutaka kumuacha huyo binti.
Nina mfano mzuri sana unaoendana na alichoandika, lakini kwa sababu bikra ndio lilikua lengo lake akaona hastahili tena kuwa nae. As we speak my friend yuko kwenye majuto...
Habari wa weekend wanajamvi!
Naomba msaada wa kuelewa hili tatizo, nina PC hapa EliteBook HP kuanzia jana jioni inaleta maruweruwe.
Nikiwa naitumia inazima ghafla hata kama chaji iko ya kutosha na nimejaribu pia ikiwa direct connected na chaja.
Kimbembe kinakuja ikijizima, kuwaka inachukua muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.