Recent content by Blacksky

  1. B

    JamiiForums Tanzania Lisemwalo lipo,mwanaume wa Dar amuomba nauli Magufuli

    We upo wapi mkuu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nipo hotelini sijui nile nini(CONGO)

    Kula iyo 7 tu mkui
  3. B

    JamiiForums Tanzania Igunga, Tabora: Mtu mmoja auawa na mwingine kajeruhiwa na Fisi

    Kitu kimoja sijaelewa bado, yaani fisi alimg'ata mwanamke makalio baada ya jamaa kupambana na fisi na kushinfwa fisi akamuuma mtoto akmuua, je mtoto alishuka kutoka mgongoni? Afu baada ya hapo sijajua huyo mama alipong'atwa makalio ikawaje maana inaonekana alieko ospital ni jamaa na sio...
  4. B

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Hodi umu ndani wahengaa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

    Ndugu unatakiwa utambue kuwa wale watangazaji ni watu wenye elimu na kazi yao pamoja na maadili kwaiyo awawezi kumuuliza maswali nje ya utaratibu na misingi ya utangazaji kwaiyo yeye mwenyewe ndo anatakiwa atumie akili kujibu na sio kuacha nafasi wazi, je atajibu nani ayo maswali kama sio...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

    Kumbe ndo mnamuona saizi tu uyu jamaa anamajivuno sana na kujiona watu awajui tu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Maswali matatu ambayo atheist wanashindwa kuyajibu kwa usahihi

    Wote tumesoma theor kama wew na dini ya imani ksma wew hao wanasayans ni binadamu kama wew je unafkir nani atatoa jibu,?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Pwani: Basi la Kampuni ya Maning Nice limepata ajali ya kupinduka

    Poleni kwa ajali wote waliohusika
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar: Ni maeneo gani hapo Dar yanapaswa kuitwa Uswahilini?

    Tmk mikoroshini mnapajua?
Back
Top Bottom