-Mbuzi wadogo ila tayari wanakula majani bei kati ya 40k mpaka 60k
-Huwezi wapata kwa mfugaji mmoja wote
-Gharama za ziada kama usafiri wa kukusanya mbuzi kwa huku nilipo ujiandae na 20k
-Kibali cha kusafirisha mbuzi mmoja ni 3500(muhimu kuwa nacho, barabarani mambo ni mengi)
-Barua ya...
Hilo eneo la star city, kutokea barabara ya lami hadi kule kwenye fence ya mwendokasi, kulishapimwa hivyo viwanja na vimeuzwa tayari. Shida ni hao wamiliki wapya kiviendeleza.
Ukishavuka reli ya mwendokasi na mto ule. Lile shamba lote la mikonge ukiwa unaelekea kiegea B na kipera. Huko bado...
Morogoro maeneo ya Kimamba wanalima sana mkonge.
Pia Morogoro mjini ukipita Tungi ukaelekea maeneo ya mbele zaidi, wanakuita Bwawani, Kiegea kwachagiza Ngongere na Sangasanga. Huko pia mkonge unakubali. Bei ya ekari moja ni kuanzia laki 3 na kuendelea
Zingatia pia kupuliza dawa wakati muembe umechanua maua, itasaidia kuboresha maua yasipukutike.
Pia dawa za wadudu, kuna nzi wa matunda(washenzi sana hawa). Sisimizi, buibui na wadudu wengine. Hawa wote usipowadhibiti, wataharibu maua na wengine wataharibu maembe.
Samadi ni muhimu pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.