Recent content by Blacklist

  1. Blacklist

    JamiiForums Tanzania Nauza Mzigo wa Stationery

    Thread closed
  2. Blacklist

    JamiiForums Tanzania Game live! Brazil vs Argentina

    mikeka imechanika
  3. Blacklist

    JamiiForums Tanzania Ukilewa sifa sana mwishowe unaanza kuropoka mambo yasiyo na mantiki kabisa

    Kwani nani asiyekujua una mahaba na team ngosha wenzio, bora uwe wazi kama kina lizaboni tujue tunapambana na wakala wa lumumba buku 7, kuliko unavyokuja na thread zako za kinafki, husda na viwivu vya kike kike halafu unajifanya mkosoaji wakati mapenzi yako tunajua yako wapi
  4. Blacklist

    JamiiForums Tanzania Style za Tendo zinauhusiano wowote na utungaji wa mimba.??

    hii formation ikoje mkuu, unaweza kutuwekea tu picha kidogo
  5. Blacklist

    JamiiForums Tanzania PATA MZIGO WA STATIONERY KWA BEII CHEE

    ...
  6. Blacklist

    JamiiForums Tanzania Nauza Subwoofer (Bado Mpya)

    sawa wewe utanipa ngapi mkuu?
  7. Blacklist

    JamiiForums Tanzania Nauza Subwoofer (Bado Mpya)

    Magu kafanyaje mkuu?
  8. Blacklist

    JamiiForums Tanzania Nauza Subwoofer (Bado Mpya)

    Mkuu dukani nimechukua laki na 80 kuna punguzo la elfu 30 hapo, na ina wiki 2 tuu toka nichukue. Still unaweza kuongea bei yako tukafanya biashara
  9. Blacklist

    JamiiForums Tanzania Nauza Subwoofer (Bado Mpya)

    Call/text: 0626852910
  10. Blacklist

    JamiiForums Tanzania Laptop for sale

    mkuu kwenye ram ni 2GB sio 4 GB kama ulivyo orodhesha
  11. Blacklist

    JamiiForums Tanzania Nauza Subwoofer (Bado Mpya)

    Wakuu, Nauza Subwoofer aina ya Sea Piano bado mpya kabisa, ina box lake, remote control, audio cables, speaker 2 za stereo. Ina option ya ku playa kwa Bluetooth, memory card na flash disk, pia unaweza kuunganisha mic mbili kwa pamoja. Pia ina fm radio na ina mdundo mzuri na haina tatizo...
  12. Blacklist

    JamiiForums Tanzania Subwoofer na DVD player zinauzwa

    nina shida ya pesa nimepata dharura
  13. Blacklist

    JamiiForums Tanzania Subwoofer na DVD player zinauzwa

    poa mkuu nimekusoma nitakuchek
  14. Blacklist

    JamiiForums Tanzania Subwoofer na DVD player zinauzwa

    hahah hapana mkuu sipo kwenye orodha, kama upo serious naweza kukutumia kwa bus
  15. Blacklist

    JamiiForums Tanzania Subwoofer na DVD player zinauzwa

    hahah mkuu usishangae, ndo bei halisi niliyoweka. Karibu
Back
Top Bottom