Wakuu kwa wale wenzangu Na mimi tuliotoroka job mapema, muda huu kuna game inaanza live!
International friendly, Brazil vs Argentina! Supersport 3!
Just a friendly match broh...Ile cku brazil alimbahatisha tu Argentina aise.
Ball possession Brazil 42_58 Argentina
Come on Albiceleste
Just a friendly match broh...
Brazil leo wameweka kikosi dhaifu sana...
Subiri wakutane kwenye game yakueleweka...
Utakuja kufuta hii comment yako..!
King ameshindwa kupata goli pamoja na kikosi dhaifu walichokua nacho Brazil..!