Recent content by blackgold engineer

  1. blackgold engineer

    Wizara ya Nishati na Madini Tukumbukeni Vijana Tuliosoma Fani Za Mafuta na Gesi

    pole kijana mimi ushauri wangu ni bora mliosoma mambo ya mafuta na gesi mkaunga kikundi halafu mkaiface wizara au serikali kama group halafu mkaeleza changamoto zenu..halafu kwa pamoja mkatafuta njia ya kutatua changamoto zenu,,kwa kua mmesoma masomo ya sayansi sioni dhambi kwa muda huu serikali...
  2. blackgold engineer

    Ifahamu idara ya usalama wa Taifa - TISS

    jina laoko tu la Mushi linakuhukumu kwamba upo upande gani,,acha ukabila ww..
  3. blackgold engineer

    Nauza Kiwanja Bagamoyo

    Nauza kiwanja Bagamoyo Kiromo si mbali na Barabara kuu,,ukumbwa 20*20,,bei ni milion 4.5,,kiwanja ni changu situmii dalali,,piga simu namba 0712001067,,nikupe maelezo,,karibu sana..
  4. blackgold engineer

    Nauza kiwanja Bagamoyo-Kiromo

    Habari, Nauza kiwanja Eneo la Bagamoyo Kiromo sio mbali na barabara kuu ya Bagamoyo ( kama mita 300 kutoka Bagamoyo Road), ukubwa wa kiwanja ni robo heka, Bei yake ni sh milioni 5.5. Kwa mawasiliano piga namba +255712001067.
  5. blackgold engineer

    Nauza Kiwanja Bagamoyo Kiromo..

    Nitafute kwa namba hapo juu il bei ni milioni tano.
  6. blackgold engineer

    Nauza Kiwanja Bagamoyo Kiromo..

    Nitafute kwa nambo hapo juu ila bei ni milioni tano..
  7. blackgold engineer

    Nauza Kiwanja Bagamoyo Kiromo..

    Nitafute namba hiyo hapo nimetoa..ila bei ni milioni tano.
  8. blackgold engineer

    Nauza Kiwanja Bagamoyo Kiromo..

    Nauza kiwanja eneo la Bagamoyo Kiromo, sio mbali na Barabara kuu ya Dar Bagamoyo, kama mita 400 hivi kutoka barabarani,,ni uwanja ukubwa wa robo heka,bei ni milioni tano ...kwa mtu mwenye kutaka tafadhali tuwasiliane kwa namba 0712001067,,Ahsanteni..
  9. blackgold engineer

    Nini tatizo EWURA mbona hawaitii watu kwenye interview?

    Ewura tangu watoe tangazo lao la kazi mwaka jana(2016) October na deadline kuapply ilikua tarehe 15 Nov,,mpaka leo hawajaita watu kwenye interview,Tatizo ni nini??
  10. blackgold engineer

    EWURA bado hawajaita shortlisted candidate for interview??

    Ewura tangu watoe tangazo lao la kazi mwaka jana(2016) October na deadline kuapply ilikua tarehe 15 Nov,,mpaka leo hawajaita watu kwenye interview,Tatizo ni nini??
  11. blackgold engineer

    Gharama za kwenda China

    inategemea na kiasi cha mzigo.. ukiwa tayari nitafute0715744220
  12. blackgold engineer

    Interview TPDC

    tatizo tukitoa siri hata sisi tutakosa,,kila mtu ni adui kwa mwenzake katika interview...
  13. blackgold engineer

    Mashirika ya Serikali bila kujuana ama kubebwa ama kuonga hupati kazi

    siku ukiwa muanga ndio utaelewa practicaly hiyo kauli ina maana gani,,huwezi kusema moto unaunguza wakati hujawahi kuushika,,kuna nafasi na mashirika very sensintive na hawapendi kumuweka mtu ambaye hawamjui hata kama unajua kama messi...
  14. blackgold engineer

    Mashirika ya Serikali bila kujuana ama kubebwa ama kuonga hupati kazi

    kaka huyu jamaa hayajamkuta ni sawa na kuelezea machungu ya kufiwa wakati hayajakukuta,,kimsingi jamaa hawajali kabisa UJUZI wa mtu alikua nao tufauti na PRIVATES kampani wao wanatafuta mtu atakayezalisha na sivinginevo..
Back
Top Bottom